Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nitamwambia mshana jr. amkia kwanza halafu nitamwambia vua miwani yako nione sura yako mwisho nitamwamuru ale konokono mbichi ili nione kama anaweza kumudu.
Hakuna uchawi unaoleta maendeleo mpaka ufanyiwe kolabo kwakuwa sometimes haya mambo ni state of mindKwa nini anapenda sana mambo ya kichawi?? Je anaamini uchawi unaweza kuleta maendeleo?
Zero IQ Kwanza kabisa hilo jina si zuri, kumbuka perception creates realityNitamuuliza maswali machache tu kama yafuatayo;
1:Mshana Jr we ni binadamu wa kawaida au ni kiumbe umetumwa toka kuzimu.
2: Unajua nini kuhusu imani unaabudu Mungu au miungu unayoijua wewe?
3:Unapitia misukosuko gani katika kazi yako unayoifanya ya ulozi.?
4:kuna tofauti gani kati yako na wachawi?
Mwisho kabisa nitamshukuru kwa busara na hekima yake aliyojariwa lakini ni baada ya kunijibu maswali yangu kwa ufasaha pasi na uongo.
Na wew Mwana Jf ukikutana nae Leo Mshana Jr utamuuliza nini?
Vya nini sasa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji779] [emoji779] [emoji779]usisahau kubeba Biblia,Quran, maji ya baraka, tasbihi, rozari, mafuta ya upako na kila kitu unachohisi ww kitakufaa [emoji126][emoji126][emoji126]
Nashukuru kwa majibu yako nilikuwa naogopeshwa na Mada zako humu Jf.Zero IQ Kwanza kabisa hilo jina si zuri, kumbuka perception creates reality
Back to the topic
1. Mimi ni binadamu wa kawaida kabisa kama wengine wote
2. Mimi ni mkristo mlokole mweledi na mwenye hofu ya Mungu....!!!
3. Sina changamoto kwenye kazi za kichawi kwakuwa sifanyi uchawi ushirikina uganga wala ulozi
4. Tofauti ni kwamba mimi sishiriki kabisa hayo mambo
Nimejibu kadiri ya ufahamu wangu na kweli toka rohoni
Hapana mimi siko hivyoNashukuru kwa majibu yako nilikuwa naogopeshwa na Mada zako humu Jf.