Siku nilipo mutuliza jambanoko mbele ya jamii inayonizunguka na watu kuniita mafionso

Jamaa muongo huyu...ngoja nikupe story ya sharo mpenda sifa,kuna siku niko pale triple A arusha getini na shughuli zangu za deiwaka tax[mapopo], basi midaa ya saa kumi kumi kwenda kumi na moja, akatoka club check- bobu mtanashat na demu mkali, kama kawaida wazee tukawa tunamuitia tax, jamaa kwa matambo akatukata steam ''nyie vip OG kama mimi mianzini tu hapo nichukue tax...temaneniii na mimi[kichugaaa slang], basi tukamwambia haya boss, jamaa kapita sheli pale triplle A kafika maeneo ya car wash, wakatokea machalii wenyewe sasa,katika hekaheka jamaa akakimbia vibaya akamuacha demu kapigwa rungu ya kichwa na kuporwa, demu ikambidi arudi adi tulipo kuomba msaada, damu zinavuja hana hata nauli ya kwenda hospital au kwao.hichi kitendo kiliniuma sana...maana washikaji kijiweni waligoma kumsaidia ikatokea father mmoja akaniambia dogo chukulia kama dada ako au mdogo wako wa kike amefanyiwa hivi. msaidie kwa roho safi.
Nakumbuka nilimpeleka hadi home kwao, familia yake ikabidi wanilipe hela ya kumpeleka hospital.Funzo ukienda kwenye starehe acha ubahili kama huna gari chukua tax,acha kujifanya mbabe ukiwa na mtoto mzurii.
 
Duh sasa mbona hili funzo haliendan na maada husika mkuu
 
Dah mkuu hizi stori zako ni vunjambavu sana asee.
Af inaelekea matukio mengi yanatokeaga siku ya Ijumaa ee?! . Hahaha. Dah yaani ghafla bin vuum ukageuka Jumong pale disko sio.
 
Back
Top Bottom