Siku nilipogundua kukesha club si sawa kwangu

Pombe nimeacha kabisa...

Haina shida as long as hutumii vibaya na haikuletei shida.

Hakika hiyo nayo ni Misconception wazungu mbona wanakunywa kwa afya tu. Sisi tumejiwekea mentality mbaya na tunakunywa kwa sifa
 
Hakika. Ila ukinywa kwa ustaarabu na ukawa na staha inakuwa sawa.
ila ukinywa kichwa hakijatulia utaamua jambo lolote.
Mana kuna binamu yangu akishapiga tayri pkpkp itapita popote mana kuna siku alijikata kidole coz alijikwaa kwahy ukucha ukatoka akaamua kumalizia na kidoLE
 
ila ukinywa kichwa hakijatulia utaamua jambo lolote.
Mana kuna binamu yangu akishapiga tayri pkpkp itapita popote mana kuna siku alijikata kidole coz alijikwaa kwahy ukucha ukatoka akaamua kumalizia na kidoLE
Duuh pombe sio kitu kizuri ukiiendekeza
 
Usituhubirie, hatutoi sadaka ng'oooo.

Matako yako.
 
Kuparty Huwa napari one at a time.

Masanga napiga ila sio mlevi-mbwa, sio mlevi,sio mnywaji najihesabia Mimi MUONJAJI tu nashukuru sijatopea huko.

Nashukuru tangu ujana nakua sijawahi vuta FEGI Wala MSUBA. washikaji wengi walizipiga hizi kitu ila Mimi nilikuwa pale nawazoom tu.

Nilishawahi test NYAGI, K-VOO na the like ila sijawahi zifeel kwamba ndio vitu vyangu bia yangu pendwa KILI na sometime nagongea Red wine.

Nyuchi ndio mahali napopapenda sema ninajuabkujicontrol napo😃

Ujana wangu umejiendeq enda tu kwasfahili hio

Ilikuwa nusu nitopee kwwnye Gambe mazima nikagundua Mimi Bado masikini Nina vitu muhimu vingi vya kufanya na stori ikaishia hapo
 
Ebu nambie pombe inaweza athiri vipi potential yako(utendaji kazi wako) coz hapa kuna teacher huku mtaani huwa anakesha vilabuni ila akija shuleni ni ung'eng'e kwa kwenda mbele na huwezi mshinda kwa chochote iwe kuwahi pia lesson plan na maazimio yeye ndo huwa wa kwanza kukusanya de Gunner
 
Tatizo unajua linaanzia wapi? Hapo hapo unaposema nipite hapa nipige zangu mbili tatu niende home ndipo shetani naye anainuka,, unasikia dj anatangaza leo ni usiku wa mswahili tepe tepe nyuma yake kuna wadada wale wa robo tatu uchi wanatingisha viuno kwa mitindo mbalimbali ya kutia hamasa,, unaona aah wacha nijionee vya ulimwengu,,
 
Unakunywa Ilomba unaenda kulala Nsalaga, hiyo siku na ulivyokuwa nje ya "mudi" ungethubutu kutembea kwa mguu kurudi home ungekutwa mzoga wako mashamba ya nanenane.
 
.... At that time nilikuwa naishi Mbeya....
Umejaribu kuji- defense isionekane unaishi Mbeya kwa kuwa umeitaja club maarufu sana hapo Mbeya ijulikanayo kama Mbeya Pazuri iliopo Ilomba upande wa kushoto ukiwa umetoka Kabwe.
Una akili nyingi sana ila tumeling'amua.
 
Hongera kwako mkuu Kwa kufanya vyote hivyo at moderation. Wengi husombwa kabisa na uraibu kutoka inakuwa ngumu kabisa.
 
Kwanza itaharibu afya yako.. Wote tunajua
Pili performance yako itapungua, ukisha kuwa mgonjwa efficiency yako kiutendaji itashika. Na tatu uraibu ni hatari sana. Unauwa consistency
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…