Siku nilipogundua kukesha club si sawa kwangu

Unakunywa Ilomba unaenda kulala Nsalaga, hiyo siku na ulivyokuwa nje ya "mudi" ungethubutu kutembea kwa mguu kurudi home ungekutwa mzoga wako mashamba ya nanenane.
Hahahaha mbeya nayo imekaa kichoko sana ndo maana nilihama
 
Nilisha hama huko mkuu
 
Hujui kuhadithia kwa maandishi, maelezo mengi yasiyo na umuhimu.
 
Hizo Aya za mwisho mwisho kidogo umeeleweka ila hapo mwanzo ulipokuwa unajifanya kuchanganya lugha umezingua sana unaweza rejea kusoma utaelewa
Haina shida kama mtu ameelewa nilicho kimaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…