Mwanangu unapenda ligi haya bwana!Kwa hiyo ulienda Afrika Kusini kupeleleza kwa nini ni wanene? Au unataka kuringishia tu kuwa na wewe unewahi kufika SA?
Mbona hilo la kula junk foods na obesity liko wazi linafahamika tu. Hukuhitaji kwenda SA
Maskini ni watu wa ajabu sanaKwa hiyo ulienda Afrika Kusini kupeleleza kwa nini ni wanene? Au unataka kuringishia tu kuwa na wewe unewahi kufika SA?
Mbona hilo la kula junk foods na obesity liko wazi linafahamika tu. Hukuhitaji kwenda SA
Wewe utajiri wako uko wapi?Maskini ni watu wa ajabu sana
Kwani kutumia mfano wa bondeni imeshakukwaza
Kabisa nilipokuwa huko afya yangu ilikuwa mbaya kabisa kilo zaidi ya 90, kitambi, miguu ilikuwa inauma magotini, gauti, kushindwa kuchuchumaa, kuumwa kichwa kila wakati, kuzeeka haraka, n.k.Siku niliyoenda Afrika Kusini ndipo nilipoelewa kwa nini watu wengi kule wanaonekana wanene.
Nilipata nafasi ya kutembelea Pretoria. Kitu kilichonishangaza ni kwamba ilikuwa vigumu sana kupata vyakula vya asili kama tulivyozoea Afrika Mashariki.
Maduka mengi na migahawa mingi ilikuwa imejaa vyakula vilivyosindikwa (processed foods), vyakula vya haraka (fast foods), vinywaji vyenye sukari nyingi na bidhaa zilizowekwa kwenye vifungashio.
Hilo lilinifanya nitafakari kuhusu umuhimu wa vyakula vya asili tulivyonavyo Tanzania.
Bado tuna ndizi, mihogo, viazi, magimbi, mtama, ulezi, mahindi, maharage, mboga za majani na matunda mengi yanayopatikana kwa urahisi.
Ni kweli kuwa uzito wa mwili husababishwa na mambo mengi, ikiwemo aina ya lishe, kiwango cha shughuli za mwili, mazingira na hata vinasaba. Lakini lishe yenye vyakula vilivyosindikwa kwa wingi inaweza kuchangia ongezeko la uzito na magonjwa yasiyoambukiza.
Watanzania tusikimbilie kuacha vyakula vyetu vya asili kwa kudhani vya kisasa ndivyo bora zaidi.
Tatizo la nguvu za kiume kwa mfano mbali na stress linasababishwa na ilaji wa vyakula visivyo asili.
Mara nyingi vyakula vya asili vina virutubisho vingi, nyuzinyuzi na vinaweza kuwa sehemu ya lishe bora.
Maendeleo ni mazuri, lakini tusiyaache kabisa yale yaliyotujenga.
Wewe unaonaje? Je, tunathamini vya kutosha hazina ya vyakula vya asili tuliyonayo?
Na mimi nimeona, hapa lengo la uzi halikuwa kuhusu minenepo ya wasouth, bali ni kutu-inform kuwa kakanyaga kwa MadibaKwa hiyo ulienda Afrika Kusini kupeleleza kwa nini ni wanene? Au unataka kuringishia tu kuwa na wewe unewahi kufika SA?
Mbona hilo la kula junk foods na obesity liko wazi linafahamika tu. Hukuhitaji kwenda SA
Sasa kwenda SA nacho ni kitu cha kuringishia watu.Kwa hiyo ulienda Afrika Kusini kupeleleza kwa nini ni wanene? Au unataka kuringishia tu kuwa na wewe unewahi kufika SA?
Mbona hilo la kula junk foods na obesity liko wazi linafahamika tu. Hukuhitaji kwenda SA
Mshamba ni wewe ambaye unaona kuwa kusafiri mpaka SA, na kuona kuwa kitu cha maana cha kuripoti ni unene wa watuSasa kwenda SA nacho ni kitu cha kuringishia watu.
Wewe mzee wa wapi wewe, unakuwa na akili za kishamba shamba.