Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Duh aisee kumbe haya mambo yapo..unaweza dhani utani. Kwenye simu hakusema chochote baada ya kujitambulisha?
 
Mhhh Wewe umesema ni Fundi lakini ulienda kununua kitanda cha inch 4 kwa 5 ......Fundi maiko kweli muda mwingine hata waandishi wa habari wanafanya tafiti kabla ya kuandika

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa ni fundi nyumba
 
[emoji1][emoji1]pombe mkuu pia ni mazingira yamebadilishwa na fattuma ww ngoja utaelewa alikuwa ashanibadili akili

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo mkuu sasa hivi mpaka unaandika haya huna akili zako za awali , unazo akili alizokupa fatuma , [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwel kazi ipo
 
kudadek, laki nne ikaku suprise
maisha magumu sana
mkuu ni laki nne au milioni mia nne
 
xxx
Moja ya kitu ambacho sitaweza kukisahau katika maisha yangu ni siku niliyokutana na jini kwenye dala dala nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2019 wakati nipo chanika nilikiwa natoka kariakoo narudi ghetto
Halafu Chifu Hangaya kasema kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake, watu wanaanza kutoa povu... ndo muone sasa uhalisia huu. Mwana hapa anaishi Chanika, zari lililomdondokea ni kukutana na jini mpanda daladala!

Huyu Mwamba angekuwa anaishi kwa wanene angekutana na Jini Pisi Kali akiwa amepaki Bentley kwenye service road akiomba msaada wa kumrekebishia side mirror iliyokaa upande.

Tujifunze kuheshimu wakubwa, huwa wanajua wanachoongea hawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…