Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Asante sana ndugu stori ina sisimua sana kila ikiisha epsod unatamani ingendelea .... ila nina swali huwa najiuliza why waleta stori wengi huwa wana pata dharura mara kwa mara kuna stori nyingi Sana humu jf ila waleta uzi wengi wanapata emergency... mwenye majibu plz
 
Naweza kusema story nyingi huwa ni za kutengeneza, naona hivo kabisa...kwahiyo hapo kwenye kufunga (Conclusion) wengi wao huwa wanachemka anaamua kusepa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wajifunze kwny uzi wa kula tunda kimasihara stori huwa hazilali
 
Mkuu nimekosea ku quote comments ngoja nijaribu ku delete
 
Acha kuongopea watu hakuna jini mwema.
 
Bila shaka begi linaweza kujaa M1 tu au huyo jini alikua condacta akaweka chenchchench za kutosha?
Tunasoma tu kamba zake lakin begi kujaa milioni moja huu ni uongo alfu mbona huyo jini alikua masikini sana
anakupa ela kama posho za madiwani lak 4 mala milion mojaa
jamaa kamba sana an [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…