Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Ok. Katika Ukristo hakuna jini zuri, wote ni mashetani. Viumbe vilivyo laaniwa na Mungu.
 
Ok. Katika Ukristo hakuna jini zuri, wote ni mashetani. Viumbe vilivyo laaniwa na Mungu.
Neno jini ni neno la kiarabu...na neno shetani pia ni neno la kiarabu , so kabla hujaja kukoroga mambo ni lazima ufuatilie maana sahihi kutoka katika lugha usika. Kwanini kunana neno Jini na kwann kuna neno Shetani, Je shetani ni nini na jini ni nini?
 
Wote ni viumbe vilivyolaaniwa. Kama unaona jini mzuri ajidhihirishe katika uhalisia wake uone.
 
Mkuu mimi Nina Lexus saloon inafanana na crown ni V8 na cc 4000. Just google Lexus LS 400 utaiona kwa mara ya kwanza maana najua hujawahi kuona na ni chache mno
Kwa mtu wa kawaida ukimwambia V8 unafikr anajua ni.gar gan? sio kwamba sjui hzo gar kama hakuna zipo huon ww hapo umeanza kusema Lexus Saloon which means ukitaja tu V8 kwa nchi yetu hii tunaenda kwenye Landcruizer
 
Wote ni viumbe vilivyolaaniwa. Kama unaona jini mzuri ajidhihirishe katika uhalisia wake uone.
Kujidhirisha katk uhalisia wake ni jambo ambalo Mungu hajatujaalia wanaadamu. Mwanadamu ni kiumbe aliyeumbwa katika umbo zuri sana kuliko viumbe wote. Uzuri wetu haumanishi wema wetu ...cuz hapa Mungu anaangalia mioyo regarless ni jini au mwanaadamu .Ndio maana kuna watu wenye sura na maumbo mazuri sana wanataingia motoni na pia kuna watu wasio na maumbo au sura za kuvutia wataingia peponi. Umbo la asili la jini , sisi wanaadamu hatuwezi kuvumilia kuliangalia , tunaweza kumuangalia jini iwapo atajivesha taswira ya kiumbe kingine .
 
Sasa kwa nn utaje jina la jini (Fatma)lako usitaje (flani)sijapenda[emoji3][emoji3][emoji3]

Anyway natamani siku moja nione hao majini ua wanafananaje yani maana ua nawasikia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…