Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Ntarud
 
Wee fetty nini?
 
SEHEMU YA 12
****************************************
Maisha yangu ya kimapenzi na fetty yaliendelea kwa kasi ya ajabu mno moyoni nikawa nasema kuwa mimi na fetty hatutaweza kuachana kamwe nilijikuta nazidi kumpenda jini fetty licha kuwa nilijua sio binadamu ila upendo wake kwangu ulinidatisha sana, niliweza kukaa kwa muda mrefu pale ghorofani kwa fetty masaki pamoja na fetty na yule rafk ake fetty mwajabu sasa nakumbuka siku moja tupo tunapiga stori na mwajabu ikabidi nimuulize swali, mwajabu toka nimefahamiana na ww sijawahi kukuona na shemeji hau ndugu kuja kukutembelea hapa akacheka sana halafu akaniambia ndugu zangu hawataki kabisa kuja hapa, nikamuuliza kwann akasema washatambua kuwa fetty ni jini kwahyo wamenitenga kabisa japo wanaonipa sapoti na matumaini ni baba na mama tu ndugu wengine wamenitenga kisa fetty maneno yake yalinipa upole wa ghafla wa mwili nilikuwa namuhurumia akaendelea kusema usijali lakn shem basi siku hiyo ikawa imepita sasa nakumbuka nikiwa kama kawaida nipo na biashara zangu dukani pale kariakoo nilipigiwa simu na fetty akaniambia kuwa leo anaweza kwenda nyumbani kwao na atakaa mwezi mmoja huko alikuwa akiniaga huku ana majonzi nikamwambia mke wangu naona nije nikuage basi maana nitakumiss sana akasema sawa njoo ile amekata simu nilijikuta ghafla kama nimeyayushwa sipo lile eneo nililiokuwepo kariakoo najikuta nipo nyumbani tayari yaani ilichukua sekunde 5 umbali wa kutoka kariakoo wa mimi kufika masaki nilisema this is funny nilijua tu jini fetty kashafanya mautundu yake nilipanda ngazi hadi ndani nikamkuta fetty pale amekaa kwenye kochi nilimfuata na kumbusu nikamwambia aisee ww mwanamke kiboko leo umenipaisha kama ndege akawa anacheka tu, basi akaniambia anaenda nyumbani amepewa taarifa kuna mambo haypo sawa kwahyo atakaa huko mwezi mmoja aliniambia nisimamie vizuri duka la kule kariakoo pia akaniambia nisijechepuka nikamjibu siwezi kukusaliti mke wangu,
Sasa siku hiyo fetty akawa ameondoka kule kwao sasa maisha yakaendelea kama siku 2 hivi nakumbuka ulikuwa ni usiku nimetoka zangu kazini nipo sebureni nilikuwa naangalia muvi pale sasa shem mwajabu akawa amekuja pale nilipo tukawa tunapiga stori nipo pale sasa mwajabu alikuwa siku hiyo amevaa kanguo kafupi kweli ni mwanamke mzuri ambae hakuna mwanaume yoyote anaweza kuvumilia kumuona vile mwajabu bila kumtamani sasa nikajikuta tu nimeanza kummezea mate mwajabu nakumbuka sijui nn kiliendelea nilijikuta nipo kitandani na mwajabu rafk ake jini fetty tunafanya mapenzi mwajabu alikuwa ni mwanamke mtamu haswa na anaejua mapenzi mno sasa nakumbuka wakati tupo tunafanya mapenzi nilianza kusikia harufu kama ya udi ikitawala katika kile chumba ilikuwa ni udi mzito mno nikamwambia mwajabu nasikia harufu ya udi cha ajabu mwajabu akawa anasema mbona yeye hasikii kitu kilichonishangaza akaniambia tuendelee mimi bado basi tukawa tunaendelea na mapenzi pale oooh mwajabu alikuwa akigugumia kwa sauti ni mwanamke ambae alikuwa hajaguswa mda mrefu mno alikuwa akilia kwa utamu wa hali ya juu sasa wakati tupo pale kitandani ghafla nikasikia sautii ikisemaa.....


Itaendelea leo

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
Shusha nondo mkuu..... Maana naonaa umeanza kuwa mwanasiasa Kila siku una haidi utaleta ila unakua mzito Broo. Jitahidi japo tunajua majukumu yanakusonga. Ila mpe hai shemeji salome
 
Shusha nondo mkuu..... Maana naonaa umeanza kuwa mwanasiasa Kila siku una haidi utaleta ila unakua mzito Broo. Jitahidi japo tunajua majukumu yanakusonga. Ila mpe hai shemeji salome
Zimefika mkuu ntajitahidi niikimbike chapu hadi tufike sehemu ya kumi na 15 ndani ya hizi wikiendi ya leo na jpli

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
wewe jamaa ushakuwa jau sikuhiz... wadau wanakuvumilia tuh siku wakikukataa utajua upeleke wapi uzi wako
 
Shusha mzigo
 
Shetani na majini ni kinyume cha Mungu na malaika. Nadhani hapo umepata jibu sasa
 
Huyu jamaa kashaanza kujiona keki sasa. Yule mwamba anaemalizia story yupo wapi aje atupe hitimisho.

Maana tunajua mwisho wa hii story ni kua jamaa kaokoka, sasa hivi yeye na mke wake Salome wana kanisa ila wanapigana vita kubwa sana na majini.

Na mwishoni atatupa ushauri kamwr tusikubali kuleta urafiki au uhusiano wowote na majini ila tuzidishe ibada kwa Mungu.

Kukupa hii attention ya kufuatilia huu uzi wako usijione wewe ndio mwamba. Bora hata zile hadithi za The Bold zilikua zinahitaji a lot of researching na akileta uzi ni uzi ulioshiba sio hizi ngonjera zako bado unaleta pozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…