Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Ila we mwamba unakichwa kigumu kweli kwanza alikwambia usimsaliti ila husikii pili. Umechepuka na rafiki ake wa muda mrefu Tena kwenye nyumba yake na kitanda chake
Daahh,huyu mwamba ninoma,kitendo cha kumuzoea Jini Hadi uchepuke marafiki yake niujasiri mkubwa mno,nimejifinza ujasiri usiona mipaka kutoka kwamtoa mada,
 
Hili suala lajini anaetembea namwanadamu,Naona nikwamkitadha WA dini yakiisilamu,maana Kwa upande waukristo kuna kitu kinaitwa,malaika mlinzi,au nitofauti
 
Hili suala lajini anaetembea namwanadamu,Naona nikwamkitadha WA dini yakiisilamu,maana Kwa upande waukristo kuna kitu kinaitwa,malaika mlinzi,au nitofauti
Utakua unawashwa wewe sio bure hivi nshenzi wewe dini ya kiislamu umeisoma wapi mbwa koko wewe?? Niambie ulikwenda chuo au kitabu kipi kilisema maneno hayo? Biblia? Kwanini unaishutumu dini ya kiislamu firauni ww? Ukome tena ukome pumbaaaav...!!!!
 
Hili suala lajini anaetembea namwanadamu,Naona nikwamkitadha WA dini yakiisilamu,maana Kwa upande waukristo kuna kitu kinaitwa,malaika mlinzi,au nitofauti
Mleta mada hakutaja uislamu wala ukristo hapa kwann hamtoi maswali yaliyomo ndani ya story mnasema ujinga hivi mmerogwa nyie??? Uislamu uislamu kila saaa unawakera uislamu? Usome uislamu basi hlf ndo uzungumze mm cwez kuuuzngumza ukristo nikiwa sijausoma....
 
Mkuu,niwie radhi kama nimekuudhi , nisamehe bure mkuu,lengo nikujifunza tu
 
HAKUNA JINI MZURI, Hao wote ni vibaraka wa baba yao ibilisi. Wote ni wa ufalme wa giza. Imeandikwa
Waefeso : 6 : 12 - Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
BILA YESU HUWEZI KUISHINDA HIYO VITA.
 
Kumbe we hamnazo... Soma maandiko kwa kutulia...hivi andiko linasema PEPO WABAYA...Ubaya ni sifa na kinyume chake ni UZURI...Kama kuna pepo wabaya basi kinyume chake wapo pia PEPO WAZURI. PEPO ni neno mbadala limetumiwa katika biblia badala wa JINI...So kama wametajwa majini wabaya basi hakuna shaka wapo majini wazuri
 
Utakua unawashwa wewe sio bure hivi nshenzi wewe dini ya kiislamu umeisoma wapi mbwa koko wewe?? Niambie ulikwenda chuo au kitabu kipi kilisema maneno hayo? Biblia? Kwanini unaishutumu dini ya kiislamu firauni ww? Ukome tena ukome pumbaaaav...!!!!
Mkuu nyie si ndiyo mnasema kina majini wazuri na majini wabaya? Au pia ni uzushi?
 
Ila all in all hakuna jini mkristo wala malaika muislamu. Over
 
Wewe wasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…