Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Ila we mwamba unakichwa kigumu kweli kwanza alikwambia usimsaliti ila husikii pili. Umechepuka na rafiki ake wa muda mrefu Tena kwenye nyumba yake na kitanda chake
Daahh,huyu mwamba ninoma,kitendo cha kumuzoea Jini Hadi uchepuke marafiki yake niujasiri mkubwa mno,nimejifinza ujasiri usiona mipaka kutoka kwamtoa mada,
 
Ifahamike kuwa Iblis makao makuu yake yapo baharini ndipo makazi yake yalipo na huko daily anatuma majeshi yake ya mashetani wa kijini kuja ardhini kwa lengo la kuwapoteza binaadamu kwa kuwachochea na kuwashawishi wafanye maasi.Kila shetani wa kijini hurudi jioni kwenda kuripoti kwa mkuu wake ambae ni Iblis na kumpa report ni jinsi gani amemshawishi fulani na fulani kufanya maasi na Iblis hufurahi zaidi akiletewa report na jini ambae amesababisha mke na mume wakaachana. Iblis hufurahi sana humsogeza shetani huyo kuwa karibu nae.

Majini wana makazi mengi...huishi baharini kwenye vina virefu vya maji..chini ya bahari kuna miji ya kijini kama sisi tunavyoishi huku juu ardhini. Wengine tunaishi nao kwenye majumba yetu, kuna ambao makazi yao ni kwenye majalaa, vyooni, kwenye miti mikubwa,misitu mikubwa, majangwani ,kwenye mapango na milimani. Kila mwanadamu anapozaliwa huwa na rafiki wa kijini huyu hutembea na wewe popote pale unapoenda ikiwa ni mwema basi huwa na manufaa na wewe kwa kukushawishi utende mambo mema ila rafiki huyu wa kijini akiwa muovu basi atakushawishi kutenda maovu sana.
Hili suala lajini anaetembea namwanadamu,Naona nikwamkitadha WA dini yakiisilamu,maana Kwa upande waukristo kuna kitu kinaitwa,malaika mlinzi,au nitofauti
 
Utakua unawashwa wewe sio bure hivi nshenzi wewe dini ya kiislamu umeisoma wapi mbwa koko wewe?? Niambie ulikwenda chuo au kitabu kipi kilisema maneno hayo? Biblia? Kwanini unaishutumu dini ya kiislamu firauni ww? Ukome tena ukome pumbaaaav...!!!!
 
Mleta mada hakutaja uislamu wala ukristo hapa kwann hamtoi maswali yaliyomo ndani ya story mnasema ujinga hivi mmerogwa nyie??? Uislamu uislamu kila saaa unawakera uislamu? Usome uislamu basi hlf ndo uzungumze mm cwez kuuuzngumza ukristo nikiwa sijausoma....
 
Mkuu,niwie radhi kama nimekuudhi , nisamehe bure mkuu,lengo nikujifunza tu
 
Ifahamike kuwa Iblis makao makuu yake yapo baharini ndipo makazi yake yalipo na huko daily anatuma majeshi yake ya mashetani wa kijini kuja ardhini kwa lengo la kuwapoteza binaadamu kwa kuwachochea na kuwashawishi wafanye maasi.Kila shetani wa kijini hurudi jioni kwenda kuripoti kwa mkuu wake ambae ni Iblis na kumpa report ni jinsi gani amemshawishi fulani na fulani kufanya maasi na Iblis hufurahi zaidi akiletewa report na jini ambae amesababisha mke na mume wakaachana. Iblis hufurahi sana humsogeza shetani huyo kuwa karibu nae.

Majini wana makazi mengi...huishi baharini kwenye vina virefu vya maji..chini ya bahari kuna miji ya kijini kama sisi tunavyoishi huku juu ardhini. Wengine tunaishi nao kwenye majumba yetu, kuna ambao makazi yao ni kwenye majalaa, vyooni, kwenye miti mikubwa,misitu mikubwa, majangwani ,kwenye mapango na milimani. Kila mwanadamu anapozaliwa huwa na rafiki wa kijini huyu hutembea na wewe popote pale unapoenda ikiwa ni mwema basi huwa na manufaa na wewe kwa kukushawishi utende mambo mema ila rafiki huyu wa kijini akiwa muovu basi atakushawishi kutenda maovu sana.

HAKUNA JINI MZURI, Hao wote ni vibaraka wa baba yao ibilisi. Wote ni wa ufalme wa giza. Imeandikwa
Waefeso : 6 : 12 - Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
BILA YESU HUWEZI KUISHINDA HIYO VITA.
 
Kumbe we hamnazo... Soma maandiko kwa kutulia...hivi andiko linasema PEPO WABAYA...Ubaya ni sifa na kinyume chake ni UZURI...Kama kuna pepo wabaya basi kinyume chake wapo pia PEPO WAZURI. PEPO ni neno mbadala limetumiwa katika biblia badala wa JINI...So kama wametajwa majini wabaya basi hakuna shaka wapo majini wazuri
 
Utakua unawashwa wewe sio bure hivi nshenzi wewe dini ya kiislamu umeisoma wapi mbwa koko wewe?? Niambie ulikwenda chuo au kitabu kipi kilisema maneno hayo? Biblia? Kwanini unaishutumu dini ya kiislamu firauni ww? Ukome tena ukome pumbaaaav...!!!!
Mkuu nyie si ndiyo mnasema kina majini wazuri na majini wabaya? Au pia ni uzushi?
 
Mleta mada hakutaja uislamu wala ukristo hapa kwann hamtoi maswali yaliyomo ndani ya story mnasema ujinga hivi mmerogwa nyie??? Uislamu uislamu kila saaa unawakera uislamu? Usome uislamu basi hlf ndo uzungumze mm cwez kuuuzngumza ukristo nikiwa sijausoma....
Ila all in all hakuna jini mkristo wala malaika muislamu. Over
 
Kumbe we hamnazo... Soma maandiko kwa kutulia...hivi andiko linasema PEPO WABAYA...Ubaya ni sifa na kinyume chake ni UZURI...Kama kuna pepo wabaya basi kinyume chake wapo pia PEPO WAZURI. PEPO ni neno mbadala limetumiwa katika biblia badala wa JINI...So kama wametajwa majini wabaya basi hakuna shaka wapo majini wazuri

Wewe wasema
 
Back
Top Bottom