Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Mwanzoni nilidhani hawalali pamoja kwakuwa bado hawajaoana lkn pia wana vita na jini hivyo wakianza kugegedana Sala hazitapokelewa, ghafla jamaa akaanza kuitandika mbususu bila ndoa na Sala zinafanya kazi, mungu ni wa ajabu sana.
Mungu wetu ni wa huruma sana
 
Katika Fomula za Maisha kulingana na Hadithi yako

1. Ni ngumu sana Mwanamke kuolewa na Kichaa na Kupata mimba. Ni rahisi sana Mwanaume kuzaa na Kichaa kuliko Mwanamke kuzaa na Kichaa

2. Stori yako ya Jini inafanana kwa Asilimia kubwa na Stori nyingi zilizopita nyuma kila Mwandishi alisema amepelekwa baharini. Jini ana Kwato kama za Ng'ombe n. K n. K

3. Kama Wana JF humu ndani wanafuatilia stori hii basi Washaisikia Kwa Watu wengine pia Stori kama Yako maana Matukio yote yanfanana na Stori za Watu wengi wakisimulia kuhusu majini

4. Halafu walokole na Mpenzi wapi na Wapi ndugu yangu. Unamsifia Salome eti alimzidi Fetty. Daaah OK twendelee

Ulisema Ulimpa Jini Mimba Ila Hatujui hiyo Mimba Iliyeyukia wapi
 
Katika Fomula za Maisha kulingana na Hadithi yako

1. Ni ngumu sana Mwanamke kuolewa na Kichaa na Kupata mimba. Ni rahisi sana Mwanaume kuzaa na Kichaa kuliko Mwanamke kuzaa na Kichaa

2. Stori yako ya Jini inafanana kwa Asilimia kubwa na Stori nyingi zilizopita nyuma kila Mwandishi alisema amepelekwa baharini. Jini ana Kwato kama za Ng'ombe n. K n. K

3. Kama Wana JF humu ndani wanafuatilia stori hii basi Washaisikia Kwa Watu wengine pia Stori kama Yako maana Matukio yote yanfanana na Stori za Watu wengi wakisimulia kuhusu majini

Ulisema Ulimpa Jini Mimba Ila Hatujui hiyo Mimba Iliyeyukia wapi
Hadithi Utamu Koleyaaa
 
Acha kujibu comments bwana ebu malizia story
Hii story haitaisha mpk atuambie ile mimba aliyompa Fetty ilienda wapi na babu yake kwnn aliuliwa na jini Fetty, hapo itakuwa imeisha salama.
 
Back
Top Bottom