Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Wadau tujalibu kuwa wavumilivu maana wote tunajua jamaa kidogo majukumu yanambana maana Shem ndio hivyo kajifungua anatakiwa amsaidie kazi pia atafute pesa. Kwahyo tusubili mambo yatakaa sawa tu wakuu
 
Mkuuu tatizo wengi wa humu hawajui kuna maisha badala ya mtandao kuna mda wa kutafuta kipato na kuna mda wa kuja jf ila pamoja sana bro mkuu nimeona komenti yako kuhusu kukaidi maagizo ya yule jini mkuu unajua ujana unazingua mno kwa mwanamke kama mwajabu akikutegea mitego lazima uingie kingi ndio kilichoniponza mkuu hapa nashusha nn kilitokea baada ya kuzini na rfk ake fetty hapo ndio dunia nilipoanza kuiona chungu

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
Hawa huwa ni wapuuzi tu, kila mmoja katikati ya story lazima apate emergency. Mara wife hivi, mwingine mara shamba limefanya hivi, mara naenda tafuta pesa kwanza, yaani vurugu tupu. Huyu mara leo nashusha episode 4,lakini hola. Kama mtu ukijua before wala hata hujisumbui kusoma, sema utajuaje kama ni wale wale?
 
Majini ni malaika walioasi, kiongozi wao ni shetani. Wote waliumbwa na Mungu. Kuna swali lingine?
Malaika ,Jini na shetani ni maneno yaliyotoka katika lugha ya kiarabu .Hivyo kabla hujaja kuyakoroga ni lazima ujue nini maana yake. Ni hivi MAJINI SIO MALAIKA na MALAIKA SIO MAJINI.

Hivi ni viumbe viwili tofauti kutokana na namna vilivyoumbwa. Nikianza na Malaika hawa ni viumbe walioumbwa kwa nuru (mfano kama mwanga wa mwezi), ni viumbe ambavyo havina jinsia,havina matamanio, havizaliani ili kuongezeka, havili wala havinywi ila wanaishi. Kiuhalisia hawa viumbe wako wengi kuliko majini na pia wamepewa nguvu sana kuliko wanaadamu na majini.Pia asili yao ni kuwa hawamuasi Mungu, wanafanya lile wanaloamrishwa tu. Wanaishi miaka mingi tofauti na majini na binadamu...yaani kufa kwao ni mpaka utakapofika saa ya mwisho ya ulimwengu huu.

Nikirudi katika MAJINI..Hawa ni viumbe ambao wameumbwa na Mungu kutokana na miale ya moto.Asili yao ni moto. Wamepewa uhuru wa kutenda na kuchagua (free will), wanakula,wanakunywa,wana jinsia, wana matamanio, wanazaana ,wanatenda mema na mabaya hawana tofauti na wanaadamu ila tu tofauti kubwa ipo katika asili ya kuumbwa. Idadi yao ni zaidi ya idadi ya wanaadamu katika ulimwengu huu. Na pia wanaishi miaka mingi tofauti na binaadamu.

SHETANI ni nani?
Kwanza ieleweke kuwa ushetani ni sifa ya uovu, sifa hii anaweza akawa nayo mwanadamu muovu au jini muovu.Binadamu au jini muovu,muasi huitwa Shetani.

IBLIS ndie kiongozi wa mashetani wote wa kijini. Yeye ndie aliekataa kumsujudia baba yetu Adam .Huyu ni jini aliyekulia na kulelewa katika kundi la malaika, alipewa elimu kubwa na Mungu na alikuwa akiheshimiwa sana na Malaika ila kiuhalisia asili yake ni kuwa aliumbwa kwa MOTO. Malaika asili yao ni kutii amri ya Mungu na walipoambiwa kuwa wamsujudie Adam kumpa heshima baada ya kuwashinda katika mtihani waliopewa na Mungu hawakuuliza mara mbili wote walisujudu akabaki Iblis peke yake ambae ni Jini yaani amepewa Free will either atii au aasi...akachagua kuasi na hakumsujudia adamu .Kutokana na jambo hili alilaaniwa na tangu hapo akapewa sifa ya kuitwa shetani na majini wanaomfuata wote huitwa Mashetani.
 
Mkuuu tatizo wengi wa humu hawajui kuna maisha badala ya mtandao kuna mda wa kutafuta kipato na kuna mda wa kuja jf ila pamoja sana bro mkuu nimeona komenti yako kuhusu kukaidi maagizo ya yule jini mkuu unajua ujana unazingua mno kwa mwanamke kama mwajabu akikutegea mitego lazima uingie kingi ndio kilichoniponza mkuu hapa nashusha nn kilitokea baada ya kuzini na rfk ake fetty hapo ndio dunia nilipoanza kuiona chungu

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Takataka tu hii, eti unaandika vi paragraph viwili tu umechoka, unapenda ubembelezwe mwenyewe kama mtoto wa kike vile
 
Malaika ,Jini na shetani ni maneno yaliyotoka katika lugha ya kiarabu .Hivyo kabla hujaja kuyakoroga ni lazima ujue nini maana yake. Ni hivi MAJINI SIO MALAIKA na MALAIKA SIO MAJINI.

Hivi ni viumbe viwili tofauti kutokana na namna vilivyoumbwa. Nikianza na Malaika hawa ni viumbe walioumbwa kwa nuru (mfano kama mwanga wa mwezi), ni viumbe ambavyo havina jinsia,havina matamanio, havizaliani ili kuongezeka, havili wala havinywi ila wanaishi. Kiuhalisia hawa viumbe wako wengi kuliko majini na pia wamepewa nguvu sana kuliko wanaadamu na majini.Pia asili yao ni kuwa hawamuasi Mungu, wanafanya lile wanaloamrishwa tu. Wanaishi miaka mingi tofauti na majini na binadamu...yaani kufa kwao ni mpaka utakapofika saa ya mwisho ya ulimwengu huu.

Nikirudi katika MAJINI..Hawa ni viumbe ambao wameumbwa na Mungu kutokana na miale ya moto.Asili yao ni moto. Wamepewa uhuru wa kutenda na kuchagua (free will), wanakula,wanakunywa,wana jinsia, wana matamanio, wanazaana ,wanatenda mema na mabaya hawana tofauti na wanaadamu ila tu tofauti kubwa ipo katika asili ya kuumbwa. Idadi yao ni zaidi ya idadi ya wanaadamu katika ulimwengu huu. Na pia wanaishi miaka mingi tofauti na binaadamu.

SHETANI ni nani?
Kwanza ieleweke kuwa ushetani ni sifa ya uovu, sifa hii anaweza akawa nayo mwanadamu muovu au jini muovu.Binadamu au jini muovu,muasi huitwa Shetani.

IBLIS ndie kiongozi wa mashetani wote wa kijini. Yeye ndie aliekataa kumsujudia baba yetu Adam .Huyu ni jini aliyekulia na kulelewa katika kundi la malaika, alipewa elimu kubwa na Mungu na alikuwa akiheshimiwa sana na Malaika ila kiuhalisia asili yake ni kuwa aliumbwa kwa MOTO. Malaika asili yao ni kutii amri ya Mungu na walipoambiwa kuwa wamsujudie Adam kumpa heshima baada ya kuwashinda katika mtihani waliopewa na Mungu hawakuuliza mara mbili wote walisujudu akabaki Iblis peke yake ambae ni Jini yaani amepewa Free will either atii au aasi...akachagua kuasi na hakumsujudia adamu .Kutokana na jambo hili alilaaniwa na tangu hapo akapewa sifa ya kuitwa shetani na majini wanaomfuata wote huitwa Mashetani.
Nafarijika sana na maelezo yako mkuu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mkuu nashukuru sana kwa elimu ya hivi viumbe. Uzi ulikua umeshaniboa baada ya handsome boy wa jf kuanza kuleta pozi kutuandikia vimistari vifupi ila sasa unanipa energy mpya kwenye huu uzi. Naomba kujua zaidi hapo uliposema majini ni wengi kuliko binadamu,je ni kweli nao wanamiji yao na wanajenga makazi yao ya kuishi huko baharini na eti kuna miji kabisa?
 
Ifahamike kuwa Iblis makao makuu yake yapo baharini ndipo makazi yake yalipo na huko daily anatuma majeshi yake ya mashetani wa kijini kuja ardhini kwa lengo la kuwapoteza binaadamu kwa kuwachochea na kuwashawishi wafanye maasi.Kila shetani wa kijini hurudi jioni kwenda kuripoti kwa mkuu wake ambae ni Iblis na kumpa report ni jinsi gani amemshawishi fulani na fulani kufanya maasi na Iblis hufurahi zaidi akiletewa report na jini ambae amesababisha mke na mume wakaachana. Iblis hufurahi sana humsogeza shetani huyo kuwa karibu nae.

Majini wana makazi mengi...huishi baharini kwenye vina virefu vya maji..chini ya bahari kuna miji ya kijini kama sisi tunavyoishi huku juu ardhini. Wengine tunaishi nao kwenye majumba yetu, kuna ambao makazi yao ni kwenye majalaa, vyooni, kwenye miti mikubwa,misitu mikubwa, majangwani ,kwenye mapango na milimani. Kila mwanadamu anapozaliwa huwa na rafiki wa kijini huyu hutembea na wewe popote pale unapoenda ikiwa ni mwema basi huwa na manufaa na wewe kwa kukushawishi utende mambo mema ila rafiki huyu wa kijini akiwa muovu basi atakushawishi kutenda maovu sana.
 
Elimu mujarabu kabisa
 
Back
Top Bottom