Siku niliyomwamini mke wangu

Msimulie....
 
Ni kweli kabisa mkuu, ila kuna mazingira kama haya ukikutana nayo ni lazima kuchukua hatua
 
Kosa ni hapo uliporudi KULALA..

Unajua ktk MIKESHA watu wanaliwa kimasikhara sana muda wa kurudi nyumbani kuliko muda wa kwenda..

Muda wa kurudi huwa kuna challenges nyingi... na ww ulivyokuwa FALA/BOYA haukufanya Risk assessments za muda wa kurudi..

Wakati anarudi alibebwa na mjamaa nae akaenda maeneo akamuwasha vya kutosha then akakurudishia makombo.
 
Ni mwanamke mjinga kabisa anayeweza kuchepuka kwa mazingira na tekniki kama hiyo. Au kama alikuwa na hiyo nia, basi huyo ''mtume'' mwenye kanisa la maombi alikuwa na room za private ndani.
hapo unapoamini wewe kwenye mazingira yasiyowezekana au yakijinga wao ndiyo wanapopatumia hapo au huwajui wanawake wewee.. Muraa skia, hawa viumbe wanaakili nyingi teh! nisikupe moyo mkuu.. ushachapika kitambo!!!
 
alifanya kosa kubwa sana sion😀😀
 
Nimecheka sana kiongozi
 
Kumbe unakumbuka mkuu! Tulikuona nikamtonya wife wako atulie mpaka uondoke! Ulivyoondoka tu tukasogea ile gest ya kijani hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…