Siku nitakayoondoka kwenye haya mazingira ya sasa nitasema “Amen”

Hold on

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2023
Posts
482
Reaction score
1,126
Kuna mazingira nipo na yanaleta makwazo ila siku nitakayo ondoka katizq situation hizi nitasema asante

Kuna nyakati nyingi ila nyakati mbaya na chungu hudumu sana kuliko furaha ila I trust one day yes
 
Ungetoa maelezo zaidi.
Shida nini
 
Kuna mazingira nipo na yanaleta makwazo ila siku nitakayo ondoka katizq situation hizi nitasema asante

Kuna nyakati nyingi ila nyakati mbaya na chungu hudumu sana kuliko furaha ila I trust one day yes
Ila uli apply mwenyewe siyo?
 
Kuna mazingira nipo na yanaleta makwazo ila siku nitakayo ondoka katizq situation hizi nitasema asante

Kuna nyakati nyingi ila nyakati mbaya na chungu hudumu sana kuliko furaha ila I trust one day yes
Umeandika as if wote tupo hayo mazingira na tunapitia hizo nyakati
 
Cha msingi n kutokukataa TAMAA mkuu ,Leo imekuwa ngumu kesho boraa yajaaa kikubwaaa n PUMZII Kwa wakat uliopo sasaa ..mengine utazidishiwaa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kama jina lako lilivyo, just Hold On, nothing is permanent in this life, kama raha hua zinaisha basi hata na shida pia ni vile vile [emoji109]
 
Toka kwenye comfort zone bob! Ukijilegeza utalegezwa..oohoooo!!! Habari ndio hiyo bahariaaaaaa chapaaaaaa!!!!

Umo umo!!!!...wekaaaaa...
 
Ondoka kwa ndugu, usitegemee ķupata raha ukiwa unaishi ugenini tena Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom