Siku njema kwa wadada/wanawake mnaojua kupika

Siku njema wanaume mnaojua kutafuta hela.. Sijui nikisema wanaume naeleweka?? Yaani WANAUME[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] wenye PESA na watafutaji.
Msiojua kutafuta hela na hamna hela endeleeni kufungua threads.[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Mso jua kupika chips zimepanda bei ,Na hatukopeshi[emoji41][emoji41]
 
Siku njema wanaume mnaojua kutafuta hela.. Sijui nikisema wanaume naeleweka?? Yaani WANAUME[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] wenye PESA na watafutaji.
Msiojua kutafuta hela na hamna hela endeleeni kufungua threads.[emoji57][emoji57][emoji57]
Amen.
 
Nimefunikia Keki Hapa, siku njema kwa wewe mwanaume unayenipa pesa ya kununua unga, mayai, blueband, sukari, vanilla cocoa kwa ajili ya kupika keki siku njema kwa wanaume wote mnaonunua mazagazaga ya kupika
 
Siku njema kwa wanaume mnaojua kuhudumia wanawake zenu...mwanaume Mwenye uthubutu wa kumpa pesa mwanamke wako akafanye shopping za kununua vitu vyenye brand kubwa Og dunia pamoja na Kumpa pesa akatengeneze nywele ya Peruvian kwa aristotee pasipo kuja kulialia humu

Mungu abariki hustle zenu..na akaongeze mnapopunguza
 
Hahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Nimefunikia Keki Hapa, siku njema kwa wewe mwanaume unayenipa pesa ya kununua unga, mayai, blueband, sukari, vanilla cocoa kwa ajili ya kupika keki siku njema kwa wanaume wote mnaonunua mazagazaga ya kupika
mbona mmetugeuzia kibao....salam zilikua kwa wanawake wasiojua kupika lakini.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji23][emoji23]

50/50 crush
mbona mmetugeuzia kibao....salam zilikua kwa wanawake wasiojua kupika lakini.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mbesa ndo kila kitu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
yna2 umenkumbusha aristote jamani nlitamani kulia rough dread mafuta yangu wao kunshika shika tu nusu laki
 
helo secret admirer!![emoji3][emoji3]
kwanini mnatusema lkn?
Mmeanza kutusema kuhusu mapishi...nasisi tumerudisha kwenye jukumu lenu la kumpa pesa mwanamke.[emoji3][emoji3] ..crush
 
yna2 umenkumbusha aristote jamani nlitamani kulia rough dread mafuta yangu wao kunshika shika tu nusu laki
[emoji3][emoji3] pole

Anamisifa ya mabei yule...sijui anahisi wote wanaoenda pale ni kina uwoya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…