Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeh[emoji123][emoji123][emoji123] View attachment 912427
Mso jua kupika chips zimepanda bei ,Na hatukopeshi[emoji41][emoji41]Siku njema wanaume mnaojua kutafuta hela.. Sijui nikisema wanaume naeleweka?? Yaani WANAUME[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] wenye PESA na watafutaji.
Msiojua kutafuta hela na hamna hela endeleeni kufungua threads.[emoji57][emoji57][emoji57]
Amen.Siku njema wanaume mnaojua kutafuta hela.. Sijui nikisema wanaume naeleweka?? Yaani WANAUME[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] wenye PESA na watafutaji.
Msiojua kutafuta hela na hamna hela endeleeni kufungua threads.[emoji57][emoji57][emoji57]
hahaha [emoji1][emoji1] tuachee!!Siku njema wanaume mnaojua kutafuta hela.. Sijui nikisema wanaume naeleweka?? Yaani WANAUME[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] wenye PESA na watafutaji.
Msiojua kutafuta hela na hamna hela endeleeni kufungua threads.[emoji57][emoji57][emoji57]
Siku njema wanaume mnaojua kutafuta hela.. Sijui nikisema wanaume naeleweka?? Yaani WANAUME[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] wenye PESA na watafutaji. Wanaume Msiojua kutafuta hela na hamna hela endeleeni kufungua threads.[emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji123][emoji123][emoji123] View attachment 912427
Nimefunikia Keki Hapa, siku njema kwa wewe mwanaume unayenipa pesa ya kununua unga, mayai, blueband, sukari, vanilla cocoa kwa ajili ya kupika keki siku njema kwa wanaume wote mnaonunua mazagazaga ya kupika
mbona mmetugeuzia kibao....salam zilikua kwa wanawake wasiojua kupika lakini.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Siku njema kwa wanaume mnaojua kuhudumia wanawake zenu...mwanaume Mwenye uthubutu wa kumpa pesa mwanamke wako akafanye shopping za kununua vitu vyenye brand kubwa Og dunia pamoja na Kumpa pesa akatengeneze nywele ya Peruvian kwa aristotee pasipo kuja kulialia humu
Mungu abariki hustle zenu..na akaongeze mnapopunguza
mbona mmetugeuzia kibao....salam zilikua kwa wanawake wasiojua kupika lakini.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
helo secret admirer!![emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
50/50 crush
Mmeanza kutusema kuhusu mapishi...nasisi tumerudisha kwenye jukumu lenu la kumpa pesa mwanamke.[emoji3][emoji3] ..crushhelo secret admirer!![emoji3][emoji3]
kwanini mnatusema lkn?