Siku njema kwa wadada/wanawake mnaojua kupika

Amen.
 
Mmeanza kutusema kuhusu mapishi...nasisi tumerudisha kwenye jukumu lenu la kumpa pesa mwanamke.[emoji3][emoji3] ..crush
sio vizuri hivyo secret admirer, mngesubiri kwanza tumalize hili la mapishii [emoji53][emoji54][emoji52][emoji3][emoji23][emoji1][emoji1]
 
sio vizuri hivyo secret admirer, mngesubiri kwanza tumalize hili la mapishii [emoji53][emoji54][emoji52][emoji3][emoji23][emoji1][emoji1]
Tungesubiri mmalize tungekosa pa kujitetea crush
 
Sijuhi niseme nn maana mijianaume ya kitanzania ilivyo mibahili, Siku njema wanaume wabahili tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…