Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Amen.
Siku njema kwa wanaume mnaojua kuhudumia wanawake zenu...mwanaume Mwenye uthubutu wa kumpa pesa mwanamke wako akafanye shopping za kununua vitu vyenye brand kubwa Og dunia pamoja na Kumpa pesa akatengeneze nywele ya Peruvian kwa aristotee pasipo kuja kulialia humu
Mungu abariki hustle zenu..na akaongeze mnapopunguza