Siku nyigine ya timu kubebwa imewadia

Siku nyigine ya timu kubebwa imewadia

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Baada ya Yanga, leo zamu ya Simba kubebwa. Mashabiki wa Yanga mtulie acha na wenzenu leo wafurahi. Baada ya mechi tukutane hapa kujadili.
 
Leo refa nae kaamua kuwabeba makolo hii foul ya Sanko alisitahili red card nae
 
Uzuri maabara yetu ni mechi za kimataifa ndio utajua timu yako ni nzuri au boya tu kama we mwenyewe
 
Uzuri gani we kolo kwani huko hakuna bahasha?acheni kujitoa fahamu kama Kuna sehem kuna figisu bas ni kwenye mashindano ya CAF wote tunaonaga,na hapo ndipo yanga kashindwa kuchanga vyema karata zake
 
Kungekuwa na bahasha mngefika fainali utopolo ,maana mnatumia pesa za ufisadi tu
 
Uzuri gani we kolo kwani huko hakuna bahasha?acheni kujitoa fahamu kama Kuna sehem kuna figisu bas ni kwenye mashindano ya CAF wote tunaonaga,na hapo ndipo yanga kashindwa kuchanga vyema karata zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] limekufika penyeweeeee, ndo unaanza kutoa sauti
 
JamiiForums1908475498.gif
 
Baada ya Yanga leo zamu ya Simba kubebwa. Mashabiki wa Yanga mtulie acha na wenzenu leo wafurahi. Baada ya mechi tukutane hapa kujadili.
Heri kubebwa na timu kuliko kubebwa na refa. 🙄
 
Leo refa nae kaamua kuwabeba makolo hii foul ya sanko alisitahili red card nae
Sakho alijaribu kuuchukua mpira kwa hiyo huwezi kusema alikusudia kumkanyaga pale.Mnajaribu kuhalalisha mnavyobebwa na un beaten za mchongo.
Subirini waarabu wawafilimbe tarehe 2.
 
Umeona sasa timu ikibebwa kutetea ilivo kazi ngumu?
 
Back
Top Bottom