Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika UTUMBO. That's why KWEUPEEEBaada ya Yanga leo zamu ya Simba kubebwa. Mashabiki wa Yanga mtulie acha na wenzenu leo wafurahi. Baada ya mechi tukutane hapa kujadili.
Uzuri gani we kolo kwani huko hakuna bahasha?acheni kujitoa fahamu kama Kuna sehem kuna figisu bas ni kwenye mashindano ya CAF wote tunaonaga,na hapo ndipo yanga kashindwa kuchanga vyema karata zakeUzuri maabara yetu ni mechi za kimataifa ndio utajua timu yako ni nzuri au boya tu kama we mwenyewe
Kungekuwa na bahasha mngefika fainali utopolo ,maana mnatumia pesa za ufisadi tuUzuri gani we kolo kwani huko hakuna bahasha?acheni kujitoa fahamu kama Kuna sehem kuna figisu bas ni kwenye mashindano ya CAF wote tunaonaga,na hapo ndipo yanga kashindwa kuchanga vyema karata zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] limekufika penyeweeeee, ndo unaanza kutoa sautiUzuri gani we kolo kwani huko hakuna bahasha?acheni kujitoa fahamu kama Kuna sehem kuna figisu bas ni kwenye mashindano ya CAF wote tunaonaga,na hapo ndipo yanga kashindwa kuchanga vyema karata zake
Ushindi wa kihalali kabisa
Kungekuwa na bahasha mngefika fainali utopolo ,maana mnatumia pesa za ufisadi tu
Heri kubebwa na timu kuliko kubebwa na refa. 🙄Baada ya Yanga leo zamu ya Simba kubebwa. Mashabiki wa Yanga mtulie acha na wenzenu leo wafurahi. Baada ya mechi tukutane hapa kujadili.
Sakho alijaribu kuuchukua mpira kwa hiyo huwezi kusema alikusudia kumkanyaga pale.Mnajaribu kuhalalisha mnavyobebwa na un beaten za mchongo.Leo refa nae kaamua kuwabeba makolo hii foul ya sanko alisitahili red card nae
Umeona sasa timu ikibebwa kutetea ilivo kazi ngumu?Sakho alijaribu kuuchukua mpira kwa hiyo huwezi kusema alikusudia kumkanyaga pale.Mnajaribu kuhalalisha mnavyobebwa na un beaten za mchongo.
Subirini waarabu wawafilimbe tarehe 2.
Kweni refa anabebaga maandazi?Heri kubebwa na timu kuliko kubebwa na refa. 🙄