Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa
Niko kwenye huzun kubwa sana aisee
Ni siku nyingi sana simuon huyu kipenz changu jjes
Sijui hata yuko wap
Mara ya mwisho kuonana naye na kuongea naye ilikuwa ni mwez ukiopita
Kwa sasa hata kwenye cm hapatikan
Pm hajibu
Simuon hata akicoment humu ndan
Yuko wapi mpendwa wangu huyu jaman
Hakuna kitu kibaya kama mazoea maana nilikuwa nimemuzoea sana kwa mastory yake ya hapa na pale
Hata inster kwa sasa simuon
Yuko wapi huyu mpendwa wangu jaman
NAKUTAFUTA JJE'S
LONDON BOY