Siku nyingi sana simuon dada yangu JJE'S namutafuta

Siku nyingi sana simuon dada yangu JJE'S namutafuta

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa

Niko kwenye huzun kubwa sana aisee

Ni siku nyingi sana simuon huyu kipenz changu jjes

Sijui hata yuko wap

Mara ya mwisho kuonana naye na kuongea naye ilikuwa ni mwez ukiopita

Kwa sasa hata kwenye cm hapatikan
Pm hajibu

Simuon hata akicoment humu ndan

Yuko wapi mpendwa wangu huyu jaman

Hakuna kitu kibaya kama mazoea maana nilikuwa nimemuzoea sana kwa mastory yake ya hapa na pale

Hata inster kwa sasa simuon

Yuko wapi huyu mpendwa wangu jaman

NAKUTAFUTA JJE'S

LONDON BOY
 
Nipo my kaka
ni shughuli za hapa na pals

ni shughuli za hapa Na pale tu but soon utaniona
 
Nipo my kaka
ni shughuli za hapa na pals

Nipo my kaka
ni shughuli za hapa Na pale tu but soon utaniona
Ulikuwa wapi faraja yangu

Yaan wewe baada tu ya kubadilishana akil nilipochukua tu akili zako ukasepa mazima

Sio vizur ujue
 
Back
Top Bottom