Pre GE2025 Siku nyingine Serikali inapotengeneza Miswada ya Sheria za Uchaguzi iwakodi Tundu Lissu na Kibatala Wawasaidie!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ndivyo inavyofanyika duniani kote hata hapo Kenya

Kwa sasa hapa Nchini Wanasheria wenye ubobezi kivitendo kwenye Siasa za Uchaguzi ni Tundu Antipas Lisu na Peter Kibatala hivyo Serikali isione kuwa ni dhambi kusaidiwa na Watu hawa

Kwa mfano huu mswada wa sheria za Uchaguzi unaojadiliwa Bunge limegeuka kuwa linakusanya maoni kama Tume ya Wariioba yaani mswada wote unatakiwa kufanyiwa overhaul

Mungu wa Mbinguni Uturehemu sisi
 
Afadhali umetambua kuwa Chama Cha Mazezeta hamna vichwa. Mmejaza machawa ambao ni mzigo hawana akili ie Lucas mwashambwa kazi yake ni kusofia kila ujinga
 
Kwa mfano huu mswada wa sheria za Uchaguzi unaojadiliwa Bunge limegeuka kuwa linakusanya maoni kama Tume ya Wariioba yaani mswada wote unatakiwa kufanyiwa overhaul
Kuna bunge gani wa kuelewa hayo mambo ya kisheria mle ndani
Jah People?
Lusinde?
Nape?
Msambatavangu?
 
Ndivyo inavyofanyika duniani kote hata hapo Kenya

Kwa sasa hapa Nchini Wanasheria wenye ubobezi kivitendo kwenye Siasa za Uchaguzi ni Tundu Antipas Lisu na Peter Kibatala hivyo Serikali isione kuwa ni dhambi kusaidiwa na Watu hawa

Kwa mfano huu mswada wa sheria za Uchaguzi unaojadiliwa Bunge limegeuka kuwa linakusanya maoni kama Tume ya Wariioba yaani mswada wote unatakiwa kufanyiwa overhaul

Mungu wa Mbinguni Uturehemu sisi
Yes posho ziendelee kuchelewa uteme madini
 
Chenge 😁
Huwa najiuliza je kuna kiumbe kinachoweza kushindana na Dr Andrew Chenge katika uchambuzi wa kisheria pasipo kukariri.
Dr mwakyembe!

Chenge yupo vizuri sema kashfa za ufisadi zilimfunika kuliko utaalamu wake.
 
Back
Top Bottom