Joka la makengeza amewekeza sana kwenye mapungufu ya Sheria Ili apige Hela za wajinga hajawahi kuwa na jambo jema Kwa tz na ukiona ametajwa popote jua manyoya ndo yamebaki ni kati ya watu hovyo kabisa ktk hii nchiChenge 😁
Huwa najiuliza je kuna kiumbe kinachoweza kushindana na Dr Andrew Chenge katika uchambuzi wa kisheria pasipo kukariri.
Dr mwakyembe!