Pre GE2025 Siku nyingine Serikali inapotengeneza Miswada ya Sheria za Uchaguzi iwakodi Tundu Lissu na Kibatala Wawasaidie!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chenge 😁
Huwa najiuliza je kuna kiumbe kinachoweza kushindana na Dr Andrew Chenge katika uchambuzi wa kisheria pasipo kukariri.
Dr mwakyembe!
Joka la makengeza amewekeza sana kwenye mapungufu ya Sheria Ili apige Hela za wajinga hajawahi kuwa na jambo jema Kwa tz na ukiona ametajwa popote jua manyoya ndo yamebaki ni kati ya watu hovyo kabisa ktk hii nchi
 
Kenya Ina nini Cha maana wakati Rais anamtishia Mahakama na Mahakama inatishia Rais?

Wewe jikite kwenye mambo Yako ya Tzn ,mambo ya kikanda wewe ni mweupe hujui kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…