Siku nyingine ya derby mashabiki Simba na Yanga hatutakuwepo

Upekuzi101

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
221
Reaction score
542
Nimefuatilia sakata la derby ya Simba na Yanga Tanzania 08.03. 2025, itoshe kusema Bodi ya ligi mmehujumu ligi kuu ya mtanzania na mnapaswa kuwajibika, Simba na Yanga mnapaswa kuwajibika, mashabiki tumekwishawajibika.

Siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa soka Duniani imekuja kuharibiwa na watu wachache kwa maslahi yasiyofahamika ni ya nani.

Tunapoongelea ligi kuu ya Tanzania bara ni swala la kitaifa na kimataifa kuelewa hili inakupasa kujua ligi yetu ni ya 5 kwa ubora Afrika hivyo Ina washabiki kitaifa na kimataifa. Aibu ya Jana imetuweka katika sintofahamu kubwa sana katika ulimwengu wa soka na itatucost pakubwa sana kwasababu mpaka sasa hatujaisikia Bodi ya ligi wanafikiri kituambia nini juu ya hili.

Vyovyote vile kwa heshima ya nchi, kwa heshima ya Tanzania ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga na kwa heshima ya soka Dunia haikupaswa mechi ya Jana kuhairishwa eti kwa sababu ya sababu zinazongelewa hikiusisha Simba kunyimwa nafasi ya kufanya mazoezi uwanjani siku moja kabla ya mechi.

Kama Simba walikuja uwanjani kufanya mazoezi kwanini walizuiliwa? kama kulikuwa Kuna sababu ya kuwazuia, aliyewazuia anareport kwanini? Maybe ametumwa ni hujuma. Na kama Simba alizuiwa kufanya mazoezi, kwanini alizuiwa kufanya mazoezi? alikosea wapi? kwanini alifanya makosa hayo? na kama mazoezi yalikuwa kipaumbele alireport kwanani Ili shida itiatuliwe mapema Ili kufanikisha lengo la ligi? hii ni hujuma.

Je kikanuni Kuna sababu yoyote inayoipa timu yoyote uhalali wa kukataa kucheza mechi kwa sababu ya kutokufanya mazoezi kwenye uwanja husika wa mechi tarajiwa siku moja kabla ya mechi?

Huo uwanja mmeutumia mara ngapi? mmefanya mazoezi na kucheza mechi ngapi kabla ya mechi ya Jana ikiwa kama maandalizi ya derby? Kama mlinyimwa kuingia uwanjani kwa kuwa maybe mlikuwa na mambo yenu, kwanini msingeenda kufanyia mazoezi kwenye uwanja WENU? utoto na ujinga wa kiwango kikubwa mmeonyesha, ni aibu kwa timu kama Simba kukwamisha mechi kubwa kama hii kwa sababu za kipuuzi kiwango hicho, someone has to pay the price.

Hii ni hujuma kwa ligi iliyopambaniwa kwa kiwango hichi hadi kuwa ya tano Africa kwa ubora. Haikupaswa chochote kinachofanana na kile cha Jana kutokea labda angekufa mchezaji lakini si kwa namna Ile, ni aibu na fedheha.

TFF mnafanya vipi kazi, hakuna intelligence ya chombo chenu katika kushughulikia njama za chini hili kutowezesha kukwama kwa matukio muhimu ya kitaifa kama haya?

Cha kushangaza uvumi wa chini kwa chini ulianza kusambaa mapema kabisa kwamba Kuna watu hawataleta timu uwanjani Ili washabiki waliendelea kuuziwa tickets, Bodi ya ligi ilishindwa hata kutoa ka press kadogo tu kusisitiza umuhimu wa mechi hii kwa nchi yetu nakuonya hujuma za kijinga kwa wale waliokuwa wanafikiria kufanya hivyo, tamko dogo kama hili tu lingeweza kuepusha ujinga na aibu iliyojitokeza Jana siku ya wanawake duniani.

Kama TFF, Bodi ya ligi na Simba Sport Club mliridhia mechi ya Jana isiwepo, kwanini mliendelea kuuza tickets, washabiki wenu tunawasapoti kwa Hali na mali mnatuletea dharau ya kiwango hichi? Mnahujumu mapenzi yetu kwenu, mnahujumu uchumi wetu mifukoni kwa ruhusu pesa zetu zipotee bila sababu za msingi.

TFF mmetufedhehesha
Bodi ya ligi mmetufedhehesha
Simba Sport Club mmetufedhehesha.

Kiufupi kuanzia wakati huu tunahitaji kusikia nini haswa kilichotokea, na maelezo haya yanapaswa kutolewa na wahusika, kila mmoja kwa nafasi yake kuanzia captain wa timu mpaka mfungua geti aliyekataa kufungua geti.

Tunatakata kujua wahusika walioongoza mchakato mzima wa hujuma hizi kwanzia kiongozi wa msafara wa timu iliyokwenda uwanjani kufanya mazoezi usiku kabla ya mechi.

Tunataka kusikia hatua za kisheria na kinidhamu zinazochukuliwa na zilizochukuliwa dhidi ya wahusika mpaka wakati huu.

Tunataka kujua mchakato wa pesa zetu tulizolipa kama kiingilio kwenye mechi hewa tunazipataje.

Tunatakata kusikia maombi ya msamaha kutoka kwa wahusika wote kwenda kwa mashabiki wa timu za Simba na Yanga na wapenzi wa ligi kuu bara hapa Tanzania, Afrika na Dunia kote.

Na mwisho huu ujinga usijirudie tena, vinginevyo hatuwashabiki tena, tunawezasapoti timu mbili ndogo na zikapnda daraja, ni kitu gani kitushinde watanzania?
 
Simba alisoma alama za nyakati, akaona bora lawama kuliko fedheha. Uzuri TFF na kwenye hiyo Bodi ya Ligi yenyewe, kumejaa mashabiki na wanazi wa hiyo timu.

Kwa hiyo lilikuwa ni jambo jepesi tu kuhakikisha mechi inaahirishwa kwa zengwe, ili baadhi ya wachezaji muhimu wa timu wapone majeraha yao.
 
Kwa sababu yanga mna timu nzuri mlikuwa na uhakika wa kushinda hiyo mechi na timu mwenyeji ndiye huwa anakabidhiwa uwanja. Sasa kwa mamlaka yenu ya muda mfupi mliyokuwa nayo mngewaruhusu tu Simba sc wafanye mazoezi yao kuliko kutumia mabaunsa wenu kuwazuia.

Vinginevyo mimi naona yanga huwa mnavunja kanuni kwa kukusudia mkijua faini yake ni pesa ndogo mtalipa tu.
 
Nimefuatilia sakata la derby ya Simba na Yanga Tanzania 08.03. 2025, itoshe kusema Bodi ya ligi mmehujumu ligi kuu ya mtanzania na mnapaswa kuwajibika, Simba na Yanga mnapaswa kuwajibika, mashabiki tumekwishawajibika.

Siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa soka Duniani umekuja kwa haribiwa na watu wachache kwa maslahi yasiyofahamika ni ya nani.

Tunapoongelea ligi kuu ya Tanzania bara ni swala la kitaifa na kimataifa kuelewa hili inakupasa kujua ligi yetu ni ya 5 kwa ubora Afrika hivyo Ina washabiki kitaifa na kimataifa. Aibu ya Jana imetuweka katika sintofahamu kubwa sana katika ulimwengu wa soka na itatucost pakubwa sana kwasababu mpaka sasa hatujaisikia Bodi ya ligi wanafikiri kituambia nini juu ya hili.

Vyovyote vile kwa heshima ya nchi, kwa heshima ya Tanzania ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga na kwa heshima ya soka Dunia haikupaswa mechi ya Jana kuhairishwa eti kwa sababu ya sababu zinazongelewa hikiusisha Simba kunyimwa nafasi ya kufanya mazoezi uwanjani siku moja kabla ya mechi.

Kama Simba walikuja uwanjani kufanya mazoezi kwanini walizuiliwa? kama kulikuwa Kuna sababu ya kuwazuia, aliyewazuia anareport kwanini? Maybe ametumwa ni hujuma. Na kama Simba alizuiwa kufanya mazoezi, kwanini alizuiwa kufanya mazoezi? alikosea wapi? kwanini alifanya makosa hayo? na kama mazoezi yalikuwa kipaumbele alireport kwanani Ili shida itiatuliwe mapema Ili kufanikisha lengo la ligi? hii ni hujuma.

Je kikanuni Kuna sababu yoyote inayoipa timu yoyote uhalali wa kukataa kucheza mechi kwa sababu ya kutokufanya mazoezi kwenye uwanja husika wa mechi tarajiwa siku moja kabla ya mechi?

Huo uwanja mmeutumia mara ngapi? mmefanya mazoezi na kucheza mechi ngapi kabla ya mechi ya Jana ikiwa kama maandalizi ya derby? Kama mlinyimwa kuingia uwanjani kwa kuwa maybe mlikuwa na mambo yenu, kwanini msingeenda kufanyia mazoezi kwenye uwanja WENU? utoto na ujinga wa kiwango kikubwa mmeonyesha, ni aibu kwa timu kama Simba kukwamisha mechi kubwa kama hii kwa sababu za kipuuzi kiwango hicho, someone has to pay the price.

Hii ni hujuma kwa ligi iliyopambaniwa kwa kiwango hichi hadi kuwa ya tano Africa kwa ubora. Haikupaswa chochote kinachofanana na kile cha Jana kutokea labda angekufa mchezaji lakini si kwa namna Ile, ni aibu na fedheha.

TFF mnafanya vipi kazi, hakuna intelligence ya chombo chenu katika kushughulikia njama za chini hili kutowezesha kukwama kwa matukio muhimu ya kitaifa kama haya?

Cha kushangaza uvumi wa chini kwa chini ulianza kusambaa mapema kabisa kwamba Kuna watu hawataleta timu uwanjani Ili washabiki waliendelea kuuziwa tickets, Bodi ya ligi ilishindwa hata kutoa ka press kadogo tu kusisitiza umuhimu wa mechi hii kwa nchi yetu nakuonya hujuma za kijinga kwa wale waliokuwa wanafikiria kufanya hivyo, tamko dogo kama hili tu lingeweza kuepusha ujinga na aibu iliyojitokeza Jana siku ya wanawake duniani.

Kama TFF, Bodi ya ligi na Simba Sport Club mliridhia mechi ya Jana isiwepo, kwanini mliendelea kuuza tickets, washabiki wenu tunawasapoti kwa Hali na mali mnatuletea dharau ya kiwango hichi? Mnahujumu mapenzi yetu kwenu, mnahujumu uchumi wetu mifukoni kwa ruhusu pesa zetu zipotee bila sababu za msingi.

TFF mmetufedehesha
Bodi ya ligi mmetufedhehesha
Simba Sport Club mmetufedhehesha.

Kiufupi kuanzia wakati huu tunahitaji kusikia nini haswa kilichotokea, na maelezo haya yanapaswa kutolewa na wahusika, kila mmoja kwa nafasi yake kuanzia captain wa timu mpaka mfungua geti aliyekataa kufungua geti.

Tunatakata kujua wahusika walioongoza mchakato mzima wa hujuma hizi kwanzia kiongozi wa msafara wa timu iliyokwenda uwanjani kufanya mazoezi usiku kabla ya mechi.

Tunataka kusikia hatua za kisheria na kinidhamu zinazochukuliwa na zilizochukuliwa dhidi ya wahusika mpaka wakati huu.

Tunataka kujua mchakato wa pesa zetu tulizolipa kama kiingilio kwenye mechi hewa tunazipataje.

Tunatakata kusikia maombi ya msamaha kutoka kwa wahusika wote kwenda kwa mashabiki wa timu za Simba na Yanga na wapenzi wa ligi kuu bara hapa Tanzania, Afrika na Dunia kote.

Na mwisho huu ujinga usijirudie tena, vinginevyo hatuwashabiki tena, tunawezasapoti timu mbili ndogo na zikapnda daraja, ni kitu gani kitushinde watanzania?
WASENGE hawa
 
Kwa sababu yanga mna timu nzuri mlikuwa na uhakika wa kushinda hiyo mechi na timu mwenyeji ndiye huwa anakabidhiwa uwanja. Sasa kwa mamlaka yenu ya muda mfupi mliyokuwa nayo mngewaruhusu tu Simba sc wafanye mazoezi yao kuliko kutumia mabaunsa wenu kuwazuia.

Vinginevyo mimi naona yanga huwa mnavunja kanuni kwa kukusudia mkijua faini zake pesa ndogo mtalipa tu.
Ilikuwaje sasa mkaenda kufanya mazoezi bila ya kutoa taarifa kwa wasimamizi wa uwanja kwa ajili ya maandalizi! Ndiyo maana nasema hapa kilikuwa kinatafutwa kisingizio tu cha kuingia mitini.
 
Mimi siamini kama ni kweli Simba sc walienda bila kutoa taarifa.

Lakini hakuna kanuni inayolazimisha kutoa taarifa maana hao wasimamizi ni watu wa mpira inatakiwa wazijue kanuni kwamba timu ngeni inatakiwa kufanya mazoezi.
 
Mimi siamini kama ni kweli Simba sc walienda bila kutoa taarifa.

Lakini hakuna kanuni inayolazimisha kutoa taarifa maana hao wasimamizi ni watu wa mpira inatakiwa wazijue kanuni kwamba timu ngeni inatakiwa na kufanya mazoezi.
Kwenye taarifa ya hiyo Bodi ya ligi wameeleza kuhusu jambo hilo. Kwa hiyo ni jambo la kweli.
 
Sio kila kitu lazima kanuni,
Vingine ni taratibu tu za kawaidaa.
Je mngeenda uwanjani mkavamiwa na hamkutoa taarifaa nani angelaumiwaa??
 
Ilikuwaje sasa mkaenda kufanya mazoezi bila ya kutoa taarifa kwa wasimamizi wa uwanja kwa ajili ya maandalizi! Ndiyo maana nasema hapa kilikuwa kinatafutwa kisingizio tu cha kuingia mitini.
TAARIFA YA NINI?
KUFANYA MAANDALIZI GANI ??
KWANI MNAPIKA CHAKULA AU KUNA MAANDALIZI YAPI

NYIE FUNGUENI UWANJA WATU WAFANYE MAZOEZI BASI .
KWANN MNAKATAA KUFUNGUA UWANJA??
WACHEZAJI MAKOCHA WANAKAA NJE YA UWANJA ZAIDI YA MASAA 3 HII NI HUJUMA YA WAZII KABISA.
WAHUNI BAUNSA WANAWAFANYIA VURUGU NA DHIHAKA ZA WAZI MAAFISA WA SIMBA MBELE YA POLISI NA HAKUNA HATUA ZOZOTE ZINACHUKULIWA??.
 
Back
Top Bottom