Siku nyingine ya derby mashabiki Simba na Yanga hatutakuwepo

Andiko lako limejaa ushabiki mtupu. Kanuni inasema timu ngeni itafanya mzoezi siku moja kabla ktk uwanja husika na ktk muda uleule wa mchezo, wachezaji wanakuja unawafanyia fujo na kuwazuia wasiingie uwanjani tena wakiwa wamefunga huoni kwa hayo ni mateso kwa wachezaji unadhani haitowaathiri kiakili na kiafya?
Waliouza tiketi ni yanga kwakushirikiana na N-card sasa Simba, bodi ya ligi na tff wanahusikaje na kukurudishia ww hela yako? Wapi umeona simba katangaza tiketi au viingilio vya mchezo?
 
Sio kila kitu lazima kanuni,
Vingine ni taratibu tu za kawaidaa.
Je mngeenda uwanjani mkavamiwa na hamkutoa taarifaa nani angelaumiwaa??
Kanuni ndio kila kitu mkuu. Hakuna kipengele cha kutoa taarifa ya kwenda kufanya mazoezi bali mwenyeji anatakiwa aandae mazingira mgeni aweze kwenda kufanya mazoezi bila shida yoyote.
 
Kanuni zipo wazi. Kama kulikuwa na dosari yoyote kamati ya saa 72 ingekaa baada ya mchezo na adhabu stahikk zingechukuliwa (faini ya milioni 1 mpaka 5) Lakini hilo la kuahirisha mchezo, halipo kikanuni na Bodi sijui wametumia kanuno gani
 
Kanuni ndio kila kitu mkuu. Hakuna kipengele cha kutoa taarifa ya kwenda kufanya mazoezi bali mwenyeji anatakiwa aandae mazingira mgeni aweze kwenda kufanya mazoezi bila shida yoyote.
Na kanuni ya kuhairisha game isichezwe kutokana na izo sababu ipo kwenye kipengele gani mkuu?
 
Vipi, unajisikia kichefuchefu ili nikuletee malimao na ndimu.
Yaap.

1. Malimao
2. Nivea Petroleum jelly
3. Uje umeuosha kabisa, ulifika ni kuchora saba, kazi yangu kudumbukiza tu.
 
Yaap.

1. Malimao
2. Nivea Petroleum jelly
3. Uje umeuosha kabisa, ulifika ni kuchora saba, kazi yangu kudumbukiza tu.
Mimba changa inakusumbua binti, kiasi cha kuwashwawashwa ukiona tu michango yangu humu jukwaani.
 
Mashabiki ya simba na yanga yote hayana akili yangekuwa na akili yangegoma kwenda uwanjani ila kwasababu yamekaa kama manyumbu utayaona na mavuvuzela yao.

Yani yanakera sana .Badirikeni nyie mbwa mtaendeshwa mpaka lini.
 
Kanuni zipo wazi. Kama kulikuwa na dosari yoyote kamati ya saa 72 ingekaa baada ya mchezo na adhabu stahikk zingechukuliwa (faini ya milioni 1 mpaka 5) Lakini hilo la kuahirisha mchezo, halipo kikanuni na Bodi sijui wametumia kanuno gani
Mlizoea kufanya upumbavu kwa kujua kwamba faini ni million 1 nazani hili litakua fundisho ata kwa vilabu vingine kwamba jambo dogo linaweza kuzaa makubwa
 
Natamani mashabuki wote wa simba na yanga tuungane mechi ijayo wote tususe tusiende uwanjani labda watauheshimu na kuuona umuhimu wetu
 
Mara nne zamalek amegoma kupeleka team uwanjani kucheza na ahly Kwa sababu wanataka refa kutoka Spain na maisha yanaendelea na kanuni zinavunjwa tu,ndio team kubwa za Africa zilivyo ni kubwa kuliko mashirikisho yao
 
Labda uwasemee mashabiki wa Yanga ila sisi wa Simba hatuwezi kuisusia mechi timu yetu ya moyoni hivyo tar ikipangwa tena utatuona uwanjani kama kawaida maana hakuna kilichotukwaza mpaka sasa viongozi wametuheshimisha ilikuwa ni lazima waelewe sisi sio wanyonge kwenye hii ligi
 
Kama Mama atakuwepo hiyo kazi ya kujaza uwanja tutawakabidhi Mkuu wa mkoa, Wilaya, Katibu na mwenyekiti wa CCM mkoa na kutoa malori ya kwenda kusomba walimu kule Mpwapwa.
 
..M huwajui watakatisha matangazo ya mpira live kama walivyo zuia bunge live

Tanzania tunaongozwa na wapumbavu, upumbavu ni kipaji mpumbavu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi anajizima data

Tanzania Ndiyo unaweza ukafanya maamuzi ya hovyo kwa masilahi ya viongozi, (maagizo kutoka juu)

Tanzania biashara nyingi zinakufa kwasababu ya maamuzi ya kisiasa ni ukweli usiopingika kwamba maamuzi ya kisiasa kote dunia ya pande mbili chanya na hasi ila kwa Tanzania Ndiyo mtindo wa maisha fikiria hasara ya biashara kwa kutokana na kadhia ya derby ya kariakoo ya tarehe 08-03-2025

Halafu eti 'business as usual' utadhani hakuna kilicho tokea Cha hovyo
 
Mngekuwa na huo umoja Hadi kwenye maslahi ya nchi. Tungekuwa mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…