Kumbe Kambarage alikuwa mkali hivi!
Anaestahili kusifiwa ni lazima asifiwe hata kama wewe humpendiKumbe kulikuwa na jabali,sasa hivi kuna jiwe,sifa nyengine bhana!!
Fikra mpya za watu kujaza matumbo yao alizipinga vilivyo.With all due respect mbona Nyerere hakua mtu wa kuruhusu fikra mpya kihiiivyo,rejea wakina tumbo walivyofanyiwa.
Sioni yupo au yuaja mtu kama Mwalimu Nyerere. Hawezi kupatikana katika mazingira ya kuishi kwa amri kutoka juu, kudhibiti akili ya kufikiri independently na kuruhusu mpanuko wa TUNU za Taifa, kuishi kwa kudhibiti kukosoa viongozi wasioheshimu utu wa wananchi na sheria za nchi zaidi ya matamko, uongozi wa visasi na ubaguzi wa kibabe. Hapatikani mtu kama JKN. Tumepoteza tu, huo ndio ukweli mgumu kumeza.