Elections 2010 Siku Slaa anaapa - mimi dr. Willibrod Peter Slaa.....

You are free to dream....

Mkuu muda wa kulumbana umeisha, sasa sisi tunaimba tu.............. Yes to believe, just to believe mpaka hapo 31/10 tunapoenda kumchomoa mwali magogoni!
 
Itakuwa ni raha iliyoje! Na wengi wanaweza kutoa machozi ya furaha kwa kufanikiwa kuwapiga chini mafisadi.
 
Itakuwa ni raha iliyoje! Na wengi wanaweza kutoa machozi ya furaha kwa kufanikiwa kuwapiga chini mafisadi.

Acha kabisa mkuu! Umesikiliza wimbo huu lakini na kuangalia video yake?
 
.

Nyambala, nitakukumbusha kurudia maneno yako hayo hapo juu baada ya mshindi kupatikana. Hizi ni ndoto za mchana tena kabla hujapata usingizi, ukiota kwamba Dr Slaa atamshinda kikwete. Matumaini yangu kwa Slaa ni 2015 ambapo pia itategemea nguvu ya atakayekuwa mgombea kupitia tiketi ya CCM.

Maumivu ya kichwa yanaanza polepole..... meza tembe za Hedex mbili kutwa mara tatu (2x3) hadi kufikia tarehe hiyo utakuwa umepata nafuu. Sikulazimishi kufuata tiba yangu kama utakuwa na tiba mbadala kama vile Alovera au mwarobaini.

Naamini baadhi ya majimbo yanaweza kuchukuliwa na wapinzani lakini si Urais. Na hii haina maana kwamba nambeza Dr Slaa la hasha ni imani yangu tu.
 
Last edited by a moderator:
Pata picha hayo maneno ya mwanzo wa wimbo huu yanatamkwa na Slaa, Mimi Dr. Wilbroad Peter Slaa naapa...

.......kwamba, nitakuwa na Josephine Mushumbusi kwa shida na kiu ya Urais, na naomba asinikimbie!-emeeeeen
 
Kimya kingi kina mshindo mkuu, naamini kimya cha kambi ya kikwete kinaashiria kwamba hawana wasiwasi na ushindi. Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji, wanaojigamba kabla ya uchaguzi hawana uhakika na ushindi. Kura ni siri yetu acha tuzihesabu ndipo tuseme nani kashinda kati ya kikwete na Dr Slaa.

Ndoto huumba lakini kuna wakati unaweza kuota upo katikati ya kundi la nyoka kumbe upo kitandani kwako umelala. Tuwe wavumilivu wakati wa kuhesabu kura bado
 
Mungu jalia waja wako, tumechoka kuishi kwa kubangaiza kila siku huku umaskini ukizidi kushamiri katikati ya utajiri! ee baba sikiza maombi ya watakatifu wako. Ondoa mafisadi wote ili Tanzania ile nchi ya amani na raha
 

Mkuu ndiyo maana nimesema toka mwanzo malumbano tumefunga sasa sisi ni kuimba tu, .............. you can do it today! Just believe!
 
Mkuu muda wa kulumbana umeisha, sasa sisi tunaimba tu.............. Yes to believe, just to believe mpaka hapo 31/10 tunapoenda kumchomoa mwali magogoni!

Kuwakuta watu/waombolezaji wanaimba msibani usishangae yawezekana ni utamaduni wao. Kuimba nyimbo kwa walioshindwa kwenye uchaguzi si jambo la kushangaza inaweza kuwa ni jambo la kawaida kulingana na utamaduni wao.
 
Ccm ndio wanaotangaza watapata ushindi wa kishindo kila siku, ht jana shein alisema.
 
Kuwakuta watu/waombolezaji wanaimba msibani usishangae yawezekana ni utamaduni wao. Kuimba nyimbo kwa walioshindwa kwenye uchaguzi si jambo la kushangaza inaweza kuwa ni jambo la kawaida kulingana na utamaduni wao.

Come on man keep it a wait is only 36hrs away, otherwise sing along ........... Mimi Dr. Wilbroad Peter Slaa...........
 
You are both right and wrong my friend!
1/ Where you are wrong:
Kwenye ballot box nina uhakika Dr Slaa atamshinda JK (50% vs 40% or thereabouts).

2/Where you are right:
JK anaweza "kutangazwa mshindi" bila kujali kilichotokea kwenye uhalisia wa matokeo.
Hapa ninaongelea rigging (refer masanduku ya kuibia kura kule Tunduma ambayo yasemekana sasa yako Ngerengere).
Najua utajifanya kuniuliza: hizi fake votes zitaingiaje kwenye final ballot count?

Ngoja nikupe nyeti ndogo......kuna jirani yangu kada mkubwa wa CCM, ana kijana wake ambaye ni Chadema through and through na pia ni wakala kwenye kituo mojawapo.
Huyu kijana ame-confide kwangu kuwa baba yake anataka kum-corrupt. Apparently amemwambia kuwa kuna $$ nyingi zinamsubiri akikubali kushirikiana na CCM (hajamwambia kushirikiana kivipi lakini my 6th instinct tells me ni possibly kushiriki katika ku-swap masanduku ya kura baada ya upigaji kwisha).

Kijana alikuja kuniomba ushauri - I have tried my best to properly counsel him against this devious ploy and he seems to understand but huwezi kujua atafanya nini eventually.
Kwenye eneo hili sincerely nawashauri sana (kama walivyoshauri wengine wengi) watu waliopo kwenye intelligence ya Dr Slaa wawe makini.

Mimi si Chadema lakini kwa Dr Slaa nimejitolea kuwa kwenye hiyo intelligence - nitaifanya ki-vyangu-vyangu na ninajua mwenyewe cha kufanya nikiona uovu ukitendeka.
Enough is enough!
 
Mimi si Chadema lakini kwa Dr Slaa nimejitolea kuwa kwenye hiyo intelligence - nitaifanya ki-vyangu-vyangu na ninajua mwenyewe cha kufanya nikiona uovu ukitendeka.
Enough is enough! ...........

That's cool brother tunahitaji uzalendo kama huo! Otherwise tuendelee kuimba.............Mimi Dr. Wilbrod Peter Slaa.......
 
Aaah kumbe kurudi rudi mwanza Mara dar Mara kipunguni nod uhakika wa kushinda eeh

Yaani usijeshangaa ukisikia yupo Tegeta sokoni, unajua type ya akina mbu sugu wapo wengi sana Tz ukiwauliza why JK wanafikiri atashinda wao wanakwambia atashinda tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…