Siku tukigawana mbao Tanganyika itarudishaje mali na mikopo iliyoenda Zenj?

love life live life

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2021
Posts
2,584
Reaction score
3,051
EAC ilipovunjika Kenya alihodhi mali nyingi za EAC je,
ikitokea tumegawana mbao Tanganyika itarudishaje mali na mikopo iliyoenda zenji?
 
Kuna fomyula mzee ta kugawana mapato na matumuzi kati ya zenji na bara,na kumbuka pia fomyula ndio ulianzisha benki kuu,ambapo zenji wakichanga na bara walichanga kuianzisha

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwa sasa kuhusu mkopo wa kovid Zenj 200bil bara 400bil,
na hela za tozo juu, nafasi ya Tanganyika baada ya kuvunjika muungano
katika hizo mali na mikopo ni ipi?
Tutajie hiyo fomula ambayo EAC ilipovunjika haikuwa nayo,
mpaka ikapppelekea Kenya kuhodhi mali za EAC.
 
Back
Top Bottom