Siku tukipata Katiba Mpya CCM itatawala kwa tabu na huenda ikang'olewa kabisa

Siku tukipata Katiba Mpya CCM itatawala kwa tabu na huenda ikang'olewa kabisa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Kamanda Asiyechoka huwa naona mbali sana.

CCM wanajua fika taifa letu tukipata katiba mpya basi huo ndio mwisho wao

Tume huru itakuwepo na hapo tutawakaba.

Mgombea binafsi atakuwepo na hapo ndio watakoma.

Mafisadi wa CCM tutawadhibiti mithiri ya panya kwenye mtego wa kubana.
 
Ni ujinga tu na kijidanganya katiba mpya haitakusaidia lolote iwapo hujitambui
 
Inabidi kwanza tuwajengee viongozi wetu mila na desturi ya kufuata na kuiheshimu katiba. Fikiria tu hata katiba iliyopo japo sio nzuri sana lakini haieshimiki kabisa. Angepatikana mmoja wa Demo Kama Suwboofer akapelekwa kula soya segerea, assuredly akili zingewarudia.
 
Awamu ya Dala waliamua kuifungia vitumbua Katiba yetu ya zamani
 
Back
Top Bottom