Siku tukipata Rais makini Taasisi ya kwanza kufuta na kusuka upya ni TAKUKURU

Siku tukipata Rais makini Taasisi ya kwanza kufuta na kusuka upya ni TAKUKURU

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,990
Reaction score
3,824
Hii taasisi ni mzigo na hakuna inachofanya.

Inatumia rasilimali hovyo kabisa za Watanzania. Mambo mengi ya hovyo na bila shaka Watanzania wenzangu mnajua yanayofanyika.

Kwasasa kila kitu kila mahala ni rushwa na ufisadi wa kutisha. Taasisi hii inahitaji kufanyiwa reforms and restructuring kabisa. It's a ghost institution.
 
FB_IMG_1756040416060.jpg
 
TAKUKURU,USALAMA CONDOM,IDARA YA UHAMIAJI,WIZARA YA MADINI,NEC,NIDA NA WAJINGA WA JF KUTOKA CCM.
 
Taasisi ya kwanza kufutwa ilitakiwa iwe ya Urais wa Jamuhuri ya Muungano, kuwe na Rais wa Tanganyika halafu mengine ndio yafuate
 
Huyo Rais atakuwa na kazi kubwa sana ya kufanya,huenda asiimalize wakammaliza maana karibia idara zote hazipo sawa.
 
Polisi mtanisamehe sana. Ila ningekuwa Rais, hakika ningeanza na nyinyi kwanza.
 
Polisi kwanza hii taasisi ina tatizo kubwa..!!
 
Back
Top Bottom