labda Rais wa jamii ile ya jinsia moja kule EU πManeno ya Biblia takatifu yanatuasa tulinde vinywa vyetu kuliko kitu kingine kile...
Maana yake ni kwamba maneno ni kama risasi hayana rivasi.. Ni vema sana kuwa na tafakuri kuu kabla ya kutamka lolote
Matamshi ya Kingai leo kwa Lissu yamebeba mwangwi mkubwa na kuna siku yatamrudia maana maisha hayana formulaView attachment 3673498
Kuna mambo usiyotarajia yanaweza kutokea tuu unadhani asikari wakaweka silaha chini nini kitatokealabda Rais wa jamii ile ya jinsia moja kule EU π
Wewe huko lumumba wamekuharibu akili aisee siamini kama ulizaliwa hivyolabda Rais wa jamii ile ya jinsia moja kule EU π
Mtani karma is abitchManeno ya Biblia takatifu yanatuasa tulinde vinywa vyetu kuliko kitu kingine kile...
Maana yake ni kwamba maneno ni kama risasi hayana rivasi.. Ni vema sana kuwa na tafakuri kuu kabla ya kutamka lolote
Matamshi ya Kingai leo kwa Lissu yamebeba mwangwi mkubwa na kuna siku yatamrudia maana maisha hayana formulaView attachment 3673498
Hivi mtani CCM huwa inawafanya nini hawa vijana hadi wanajitoa sana ufahamu juu ya CCM??Always πͺπΏββ
unadhani naweza kubabaika na mihemko yako nonsense gentleman?πWewe huko lumumba wamekuharibu akili aisee siamini kama ulizaliwa hivyo
ok.
Style yako ya uandishi wa kichoko hiyo itakutokea puani.Uchoko peleka Lumumba ubongo umeharibika weweunadhani naweza kubabaika na mihemko yako nonsense gentleman?π
kwamba mimi naweza kubabaika na porojo au hizo ramli zako useless jukwaani gentleman?πKuna mambo usiyotarajia yanaweza kutokea tuu unadhani asikari wakaweka silaha chini nini kitatokea
Vingine tusije tukakufuru humuMtani vingine haviandikiki.. !