Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Atavuna anachopandaManeno ya Biblia takatifu yanatuasa tulinde vinywa vyetu kuliko kitu kingine kile...
Maana yake ni kwamba maneno ni kama risasi hayana rivasi.. Ni vema sana kuwa na tafakuri kuu kabla ya kutamka lolote
Matamshi ya Kingai leo kwa Lissu yamebeba mwangwi mkubwa na kuna siku yatamrudia maana maisha hayana formulaView attachment 3673498
Kweli Mkuu,kuna kipindi mpumbavu akipata mafanikio ndio anakuwa mpumbavu zaidi.Hawa ndio wale wapuuzi wenye ID lundo.. Hii post ime reveal ID mbili tayari
labda Rais wa jamii ile ya jinsia moja kule EU
Watakimbia wenyewe bila kufanyiwa chochote ila kwa hofuHatutegemei mtu aliyejipambanua kama mpenda haki awe kiongozi wa mihemko, mwenye jazba na visasi. Akiongoza kwa style hiyo atakuwa hana tofauti na haya majizi ya sasa.