Nitakuja kuisoma hii 2050 kwenye Dira mpya ya Maendeleo 2075Tukifa tumekufa..
2050 Nadhani 🆔 yangu itakuwa inasoma RIPNitakuja kuisoma hii 2050 kwenye Dira mpya ya Maendeleo 2075
Naona utakuwepo kushuhudia matunda mbalimbali ya Dira 20502050 Nadhani 🆔 yangu itakuwa inasoma RIP
Mkuu ukisha kufa umekufa,,, kaburini hakuna kujua tena.. Sikiliza nyimbo moja ya wasabato inaitwa makaburi, king'ongo sdaKila nikitafakari sana kuhusu hili swala la maisha baada ya kifo katika Angle ya hizi dini zetu nagundua sisi wanadamu hatujui hatma yetu baada ya maisha haya. Muislamu anasema hili mkristo anasema lake...wa budhaa nao wanasema kivyao ,wahindu nao vilevile wanaelezea maisha ya kifo wanavyojua wao ilimradi tu changanyikeni...
Yaani hatuna uhakika kuhusu afterlife... anyway kama kuna mbingu au jehanamu au tutaingia kwenye dimension nyingine tofauti na hii tuliyopo , basi itajulikana tu siku ile tu tutakapokufa.
Mshana Jr
Hiki ni suala, si swala.Kila nikitafakari sana kuhusu hili swala la maisha baada ya kifo katika Angle ya hizi dini zetu nagundua sisi wanadamu hatujui hatma yetu baada ya maisha haya. Muislamu anasema hili mkristo anasema lake...wa budhaa nao wanasema kivyao ,wahindu nao vilevile wanaelezea maisha ya kifo wanavyojua wao ilimradi tu changanyikeni...
Yaani hatuna uhakika kuhusu afterlife... anyway kama kuna mbingu au jehanamu au tutaingia kwenye dimension nyingine tofauti na hii tuliyopo , basi itajulikana tu siku ile tu tutakapokufa.
Mshana Jr
Kwa hio itakuaje sasa mkuu na hilo suala? Nasikia sio kunakuaga na matarumbeta huko unakoendaHiki ni suala, si swala.
Swala ni mnyama.
Awali ya yote nitoe shukhrani zangu na pongezi kwa Sweet16 Ingawa kuna mpuuzi alifikiria labda nitatoa shukhrani na pongezi kwa Mama nanii, juzi nilitafakari sana kuna mchungaji mkubwa alisema eti Mungu ni Mama ila tangu najifunza kuhusu dini na vitabu vya dini niliambiwa ya kwamba Mungu ni Baba hakuna nilipofundishwa na niliposoma nikaambiwa Mungu ni Mama maana yake hakuna Mungu Mama, baada ya kusikia vile nahisi Mungu alilia sana huku aliko ilikuaje kuaje mpaka Mchungaaji yule akaona ya kwamba siku hizi Mungu sio Baba tena ila Mungu ni Mama yaan Mungu ameanza kuvaa sikuna na anavaa sketi like serious Mungu akapigwa mimba kweli na akamzaa Mkombozi inafikirisha sana au bado inachanganya akili Mungu ni Mama?Suala la maisha ya baadaye ni imani tu ya kufikirika maana hakuna aliyekufa akaja tena kusimulia....hata wahubiri wanaotuhubiria masuala ya mbingu nao wanasikia tu
Kila nikitafakari sana kuhusu hili swala la maisha baada ya kifo katika Angle ya hizi dini zetu nagundua sisi wanadamu hatujui hatma yetu baada ya maisha haya. Muislamu anasema hili mkristo anasema lake...wa budhaa nao wanasema kivyao ,wahindu nao vilevile wanaelezea maisha ya kifo wanavyojua wao ilimradi tu changanyikeni...
Yaani hatuna uhakika kuhusu afterlife... anyway kama kuna mbingu au jehanamu au tutaingia kwenye dimension nyingine tofauti na hii tuliyopo , basi itajulikana tu siku ile tu tutakapokufa.
Mshana Jr
Ni sawa unapolala na kuota ushawahi kujiuliza kule unapokua unapaona ukiwa umelala ni wapi ukatupa jibu?tafuta upande ukubaliane nao tu
Hivi Mtumishi, Mungu ni Mama au Mungu ni Baba? Biblia imeandika Bwana ikimaanisha Mungu maana jina la Mungu alitajwi bure kila unapolitaji kuna gharama lazima uilipienjoo kwa Yesu uokoke, Roho wa Mungu Atakufunulia yote hata yale ambayo ni mafumbo ya Mungu.
1Kor 2:10
“Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.
”
— 1 Wakorintho 2:10 (Biblia Takatifu)
Sijakuuliza kuhusu mafuta ya Mwamposa nimekuuliza kitu kingine kabisa mkuu huna jibu?“Nanyi, mafuta yale mliyoyapata kwake yanakaa ndani yenu, wala hamna haja ya mtu kuwafundisha; lakini kama mafuta yake yanavyowafundisha habari za mambo yote, tena ni kweli wala si uongo, na kama yalivyowafundisha, kaeni ndani yake."
— 1 Yohana 2:27 (Biblia Takatifu)
Neno la Mungu likisema: "yanavyofundisha habari za mambo yote" Haya mambo yote yanayotajwa hapa ni pamoja na LIFE AFTER DEATH.
Ushuhuda wa mafuta ya Mwamposa anao Yesu yaan mafuta ya Mwamposa yalimponya Yesu? Punguzeni utani basiHapa ndipo ufalme wa Yesu unapoonekana.
Maana yeye alikufa na kufufuka
Anaushuhuda wa yote hayo.