Siku ukipata bahati ya kuonana na HR 666 utamwambiaje

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Hivi siku ukapata bahati ya kuonana na mwana JF machachali anayejulikana kama HR 666 utamwambia kitu gani ambacho ulikuwa unashindwa kumwambia humu jukwaani?
 
Ngoja nije [emoji125] [emoji125]
 
πŸ˜€πŸ˜€ mkuu umesema la msingi kabisa...pia ukikutana nae mwambie aache kuishi mjini kwa kulia lia kwa shemeji yake 😑😑
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
uwe na vision kama kina jack ma apo ndo utajua utofaut kati ya superstar and famous
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…