Siku ukipata bahati ya kuonana na HR 666 utamwambiaje

Siku ukipata bahati ya kuonana na HR 666 utamwambiaje

Ntamwambia aache uongo na uzushi. Na thread za uongo
 
Hivi siku ukapata bahati ya kuonana na mwana JF machachali anayejulikana kama HR 666 utamwambia kitu gani ambacho ulikuwa unashindwa kumwambia humu jukwaani?
Nitamuuliza kama wanapotoa makafara ya watoto wachanga mafuta wanayatoa kwanza na kama wanayatoa wanayatumia kwa shuhuli gani.
 
Mi binafsi nitamuomba kumficha ili asikamatwe na KIGWA!
 
Namfahamu huyu mkuu. Watu wanajikwangukia tuu voucher za tigo. Yeye hutumia laini za 4G za chuo.

Yaani hapo alipoambiwa ataombwa muamala wa tigo Gusa marinda basi amefurahi Sana.
Eti basi amefurahi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi siku ukapata bahati ya kuonana na mwana JF machachali anayejulikana kama HR 666 utamwambia kitu gani ambacho ulikuwa unashindwa kumwambia humu jukwaani?
ntamwambia akaze katika kitabu maana matatizo yake ya kitabu na maisha ya starehe yana mghalim sna inaelekea
 
Back
Top Bottom