Anhaaa kumbe
Dogo ludi shuleHivi siku ukapata bahati ya kuonana na mwana JF machachali anayejulikana kama HR 666 utamwambia kitu gani ambacho ulikuwa unashindwa kumwambia humu jukwaani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwan na ww ni mtu maarufu? umekaa ukaamua ujianzishie uzi mm ata sijui nitakupa adhabu gani nilivyokua sikupendi.
Amekutana mods, wacha apunguze payo lake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo nayo ni bahati!
hahahaNdio nani huyo?? Mbona mnawakuza sana watu wakati tuko sawa nao tuuu