Siku ukipendwa utayaona haya

Siku ukipendwa utayaona haya

Thabit Madai

Member
Joined
Oct 8, 2024
Posts
54
Reaction score
140
Leo wacha tuamke na hii,

Mwanamke akikupenda, atapambana kwa nguvu zote ili akupate, wanambinu kali ya kumpata mwanaume kuliko hata wanaume walivyo na uwezo wa kutongoza Mwanamke.

Hatokuonyesha greenlights pekee lazima atafanya ata mawasiliano yawe ya hisia sana juu yako bila hata aibu, siku mtakapopendwa mtaona.
 
Ukiwa na akili timamu huwezi kutokewa na upuuzi wa namna hii
 
Back
Top Bottom