peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kuna siku wanachama wa ccm watakapo jitambua kuwa:-
1. Watoto wao wamesoma wanazurura hakuna ajira.
2. Huduma za jijamii hazipo kulingana na mahitaji yao
3. Raslimali zipo ila zinamilikiwa na wachache
4. CCM ni familia ya watu wachache wanao ongoza mamilioni ya watu wasio na walio wanachama
5. Kuomba omba kwa wanachama wao ili waweze kuishi kukikoma
6. Siku CCM bara itaongozwa na CCM visiwani
7. Siku wataelewa kuwa wanashirikiana na viongozi wao ambao hawalete maendelei bali ni maneno
8. Siku wasio wanachama watsingia mtaani kudai walivyoteseka tangu uhuru.
Ikifuka 2030 CCM itasambaratika!