Victoriously
Member
- Jan 14, 2018
- 60
- 49
ha ha haaaaaaaUwe hausi girl wewe naweka dau
Nani anaitwa Darby?Hehehehehehe in kasie voice
Kasie
@Darby
Asprin
Joseverest
Emmyta
Sakayo
Shunie
Mahondaw
Behaviourst
kisu cha ngariba
Ladies & gentleman munaitwa
DJ ukiniona utamkubali Ipogolo. Si fake life. Mie na mbwa wangu tu.Kwa maisha tunayoishi jf ya ufahari mkubwa
Magari ya bei mbaya!
Majumba ya kifahari
Kazi nzuri nzuri
Mavazi ya kifahari
Jf hakuna aliyepanga chumba kimoja labda Nyumba nzima kodi 3 millions na zaidi
Hakuna anayekula kwa shida!
Kila mtu anatembea amekaa tena sio starlet!
Hakuna anayepata mshahara Wa chini ya laki 9!
Wote tumeajiriwa vitengo nyeti!
Au tuna mabusiness au makampuni cc husnathebossylady!
Hakuna anayeungaunga life!
Wote tuko mahandsome na mabeautifu
Tuna ngozi nyororo na sura za mvuto!
Mods naomba watusaidie kupanga get together party walau tukutane one day!
Na wamikoani nao waje dar! Au Wa dar waende mikoani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] heloooo unalo hilo babu wewe!!![emoji108]Nani anaitwa Darby?
Kasie naomba unisutie huyu mtoto.Aaaah ex bibi alikuwa anakusifia ....
Ilikuwa hivi siku tunasikiliza nyimbo za Celine Dion ......ukaimba wimbo wa power of love akanambia mjukuu kuwa uyakuyate , nikwamwambia kwanini babu unasema hivyo akanambia huu wimbo unanikumbusha enzi zangu na bibi yako kabla hatujaachana. Yani anasauti kama huyu huyu mwimbaji [emoji4] [emoji4]
Nikamuuliza ulikuwa unampenda akanambia Sana mjukuu Wangu mpaka sasa hivi bado nampenda!! Mbona sasa umemuaacha??
Nikatolewa nduki[emoji12] [emoji12]
Daby
[emoji23] [emoji23] hapa nikuchota laana.... kanivalie dela kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] heloooo unalo hilo babu wewe!!![emoji108]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe safari ni yangu basi nisubiri huko huko
Na Yale matege uwiii na ile midomo ya diamond na Yale macho ka nyanya chungu sura sasa ka imekamuliwa ndimu komavu!
Aaaah ex bibi alikuwa anakusifia ....
Ilikuwa hivi siku tunasikiliza nyimbo za Celine Dion ......ukaimba wimbo wa power of love akanambia mjukuu kuwa uyakuyate , nikwamwambia kwanini babu unasema hivyo akanambia huu wimbo unanikumbusha enzi zangu na bibi yako kabla hatujaachana. Yani anasauti kama huyu huyu mwimbaji [emoji4] [emoji4]
Nikamuuliza ulikuwa unampenda akanambia Sana mjukuu Wangu mpaka sasa hivi bado nampenda!! Mbona sasa umemuaacha??
Nikatolewa nduki[emoji12] [emoji12]
Daby
Umemshauri kichaa subiri utekelezaji tu.Naona anakunyapia nyapia, fanya ukaguzi uweke ndani. Mbona unalaza damu?
Looh ngoja nimfungie na madirisha kabisa na magrili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bado mwenzio Aspirin[emoji23] [emoji23] hapa nikuchota laana.... kanivalie dela kabisa
Wewe huyu babu yangu kabisa huyuNaona anakunyapia nyapia, fanya ukaguzi uweke ndani. Mbona unalaza damu?
Vibaya hivyoo! Ujue hawara hana talakaee[emoji12] [emoji4]Looh ngoja nimfungie na madirisha kabisa na magrili.
Utakosa mume hivi hivi laana zinabebwa ujue.... uje nikukague badi[emoji23] [emoji23] [emoji23] bado mwenzio Aspirin
Ukoo gani huu
Siji ng'ooo kwanza kuna mtu nimeshamzimia nimeanza kumpa mtongozo.Utakosa mume hivi hivi laana zinabebwa ujue.... uje nikukague badi
Nani tena huyo mwanaizaya... njoo tuthaminishe kiasi cha mahariSiji ng'ooo kwanza kuna mtu nimeshamzimia nimeanza kumpa mtongozo.