Siku watu wakikutana watakimbiana humu!

Siku watu wakikutana watakimbiana humu!

Wewe unataka watu wakimbiane humu.

Maana the way wanachat ni tofauti na maisha yao halisi.
 
Jiwe kizani loh.. Atakuja tu na atajulikana tu

Kuna party za JF ziliandaliwa na baadhi ya members wa MMU sikuwahi kwenda hata moja, sijui kwanini..... mjumuiko wa watu 2-5 na mimi nikiwemo nakuja ila kama kwenye harusi watu 300 au 500..... ntatokomea kusikojulikana.

Ile kakitu usihofu nayo, amini iko siku tuu maana tarehe 2 mwaka huu niliweka nia naamini itatimia tuu.

Kio chedi.
 
Back
Top Bottom