Siku watu wakikutana watakimbiana humu!

Hahaha
Kila mtu atapambana na khali yake tuu!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila usinikimbie maana siku ile nusura utimue maana Mimi homorapa anasubiri
Nitakujib kesho saiv nimeshalewa savvana aiseee napata tabu kutype
 
Kama ni viwango wako wengine mnawachukulia wa kawaida ila ni standard flani.mtakimbia ninyi
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23]
 
Na sisi wakulima mbona haujatutaja? Acha ubaguzi buana.

Anyways JF ni dunia iliyojaa kila type ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…