Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakujib kesho saiv nimeshalewa savvana aiseee napata tabu kutype[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila usinikimbie maana siku ile nusura utimue maana Mimi homorapa anasubiri
Na ukiwa umevaa moka hatar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sipati picha ntakavokimbia uwii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ha ha ha le you know atapiga selfie za kutosha na mabebezhiyo party si tutatunguliwa juu juu maana kama kina Le supa babies u know ana hamu na kina naniliiiii sana tu
Hatujambo DJ. Ngome, Mkwawa, Kitanzini, Cagliero, ruaha, Sokoni,machine 3.Kibwabwa kihesa mtwivila kwasemtema
Kichangani ruaha
Hamjambo iringa
[emoji23] [emoji23] unataka mahari bado mkweo unamuita mwanaizaya? Simuiti ng'ooNani tena huyo mwanaizaya... njoo tuthaminishe kiasi cha mahari
ha haaa igumbilo,miyomboni, ruco,kihesa,mshindo, mkimbizi ,mwang'ingo[emoji15] [emoji126] [emoji15]Hatujambo DJ. Ngome, Mkwawa, Kitanzini, Cagliero, ruaha, Sokoni,machine 3.
Kitwiru, Iruwasa, Tumaini,Ifunda, Igumbilo.ha haaa igumbilo,miyomboni, ruco,kihesa,mshindo, mkimbizi ,mwang'ingo[emoji15] [emoji126] [emoji15]
ziz la ng'ombe, kihodombi, kiwandani kagrielo,isimila ,n.kKitwiru, Iruwasa, Tumaini,Ifunda, Igumbilo.
Yahni humu kuna matoleo yote kuna matoleo ya mwanzo ya kati na matoleo ya mwisho sample ya kina tausi mdegela .Unakutana na ka @Mwifa kafupii kama Stive Nyerere
Ntavunja mguu ayseee yatakuwa sio makutano tenaNa ukiwa umevaa moka hatar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]