Siku watu wakikutana watakimbiana humu!

Sasa mkuu bahati mbaya siku umeahidiana na mwanaJF mmoja kwamba muonane mfahamiane then aje akukute upo tofauti na avatar yako ilivyo si ndo mwanzo wa kukimbiana?
 
mimi naunga unga life alaf sina hata kazi alaf hata hizo nyumba za milioni 3 sizijui zipoje alaf wewe umesema wanajf wote means hata sie waungaji tupo[emoji20]
Unajua wewe hujui uki log in jf shida huwa unaziacha hukooo!
 
kila binti ni mrembo, hakuna mweny flatscreen wote chura,, mfano ni wewe mwenyewe too fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…