Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Hahaaa hapana si leo, leo niko mbali kidogo
Aaah,sio leo jioni???[emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah,sio leo jioni???[emoji15]
mimi naunga unga life alaf sina hata kazi alaf hata hizo nyumba za milioni 3 sizijui zipoje alaf wewe umesema wanajf wote means hata sie waungaji tupo[emoji20]Nini mpendwa nimekukosea!
kila binti ni mrembo, hakuna mweny flatscreen wote chura,, mfano ni wewe mwenyewe too fakeKwa maisha tunayoishi jf ya ufahari mkubwa
Magari ya bei mbaya!
Majumba ya kifahari
Kazi nzuri nzuri
Mavazi ya kifahari
Jf hakuna aliyepanga chumba kimoja labda Nyumba nzima kodi 3 millions na zaidi
Hakuna anayekula kwa shida!
Kila mtu anatembea amekaa tena sio starlet!
Hakuna anayepata mshahara Wa chini ya laki 9!
Wote tumeajiriwa vitengo nyeti!
Au tuna mabusiness au makampuni cc husnathebossylady!
Hakuna anayeungaunga life!
Wote tuko mahandsome na mabeautifu
Tuna ngozi nyororo na sura za mvuto!
Mods naomba watusaidie kupanga get together party walau tukutane one day!
Na wamikoani nao waje dar! Au Wa dar waende mikoani
doh basi mie huwa nalog in nazoUnajua wewe hujui uki log in jf shida huwa unaziacha hukooo!
Kwani mbezi ndio hakuna chumba kimoja wa wapi wewe au ukisikia mtu anaishi mbezi unajua kila mtu anaishi kwenye mjumba mfyuuuSi ulidai unakaa mbezi Wa sio Wa kuishi stoo