Siku watu wakikutana watakimbiana humu!

Hata mimi nashangaa, tena kuna wengine wanaomba hata buku la chakula na wanapewa
 
Sema umachagua nyuzi za kusoma, mbona wakulima wadogo wadogo tuna nyuzi zetu humu tunajadili masoko ya mazao na changamoto zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…