Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaHakuna anaendesha pikipiki wala bajaji wote ni V8 na Vx
Hahahahaaaaaahiyo party si tutatunguliwa juu juu maana kama kina Le supa babies u know ana hamu na kina naniliiiii sana tu
Nitakuwa wa kwanza kukukimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ila kuna wengine umetukosea aisee
Hata mimi nashangaa, tena kuna wengine wanaomba hata buku la chakula na wanapewaLabda wewe ndio unafake life..
Mbona JF ndio wa kwanza kulalamika vyuma vinakaza..
Mbona kuna wadau wanatoa story za nyumba za kupanga..
Kuna hadi madogo wanaomba notce za form 5...
Kuna watu wanatangaza kuuza kuku humu..
Usitake kuwasingizia wadau mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ntakavyo kukimbiliaaNitakuwa wa kwanza kukukimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Sio kweli bnaa mbona tunajikubali tulivyo.kila binti ni mrembo, hakuna mweny flatscreen wote chura,, mfano ni wewe mwenyewe too fake
Chumba kimoja ndani ya nyumba kubwa/kimezungukwa na vyumba vingine mojawapo sebuleSi kweli jaman mbona me naishi chumba kimoja
Sema umachagua nyuzi za kusoma, mbona wakulima wadogo wadogo tuna nyuzi zetu humu tunajadili masoko ya mazao na changamoto zakeKwa maisha tunayoishi jf ya ufahari mkubwa
Magari ya bei mbaya!
Majumba ya kifahari
Kazi nzuri nzuri
Mavazi ya kifahari
Jf hakuna aliyepanga chumba kimoja labda Nyumba nzima kodi 3 millions na zaidi
Hakuna anayekula kwa shida!
Kila mtu anatembea amekaa tena sio starlet!
Hakuna anayepata mshahara Wa chini ya laki 9!
Wote tumeajiriwa vitengo nyeti!
Au tuna mabusiness au makampuni cc husnathebossylady!
Hakuna anayeungaunga life!
Wote tuko mahandsome na mabeautifu
Tuna ngozi nyororo na sura za mvuto!
Mods naomba watusaidie kupanga get together party walau tukutane one day!
Na wamikoani nao waje dar! Au Wa dar waende mikoani
Hahahahahaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ntakavyo kukimbiliaa
mimi naunga unga life alaf sina hata kazi alaf hata hizo nyumba za milioni 3 sizijui zipoje alaf wewe umesema wanajf wote means hata sie waungaji tupo[emoji20]
Niko kwa V8 yangu hapa naelekea Dar fishmarket kula bataUnajua wewe hujui uki log in jf shida huwa unaziacha hukooo!
Hahahahahaaaaaagaiiiii mbona wengine tuna sura za babu na pasi juu wacha kutusingizia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahaaaaa
Sipati picha.....
Navuta picha jinsi nitakavyokukimbiaa....Hatar kabisaaaa