Uchaguzi 2020 Siku ya 1: WanaCCM 80 wachukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Kawe huku 31 wakichukua Kinondoni

Uchaguzi 2020 Siku ya 1: WanaCCM 80 wachukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Kawe huku 31 wakichukua Kinondoni

Jimbo la kawe piga ua linarudi CCM.so atakaepitishwa ndani ya CCM ndo mbunge huyo.na watia nia wa CCM wanataarifa ya jimbo la kawe ni miongoni mwa majimbo mkakati ya kuyarudisha.
 
Jimbo la kawe piga ua linarudi CCM.so atakaepitishwa ndani ya CCM ndo mbunge huyo.na watia nia wa CCM wanataarifa ya jimbo la kawe ni miongoni mwa majimbo mkakati ya kuyarudisha.
Hahahahahahahahah Akili za wana CCM bana,Eti Piga ua linarudi CCM.
 
Hahahahahahahahah Akili za wana CCM bana,Eti Piga ua linarudi CCM.
Kwenye haya majiji makubwa majiji tata ni A.town na kwa sugu.hapa kuna mbinde.
ila kwa jiji kama Dar majimbo yote ni mepesi kurudi.operation kijani tupu Dar.
 
S
Leo ikiwa ni siku ya kwanza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama Cha Mapinduzi. zaidi ya wanachama 80 wamejitokeza kuchukua fomu katika jimbo la Kawe..

Je ni democrasia?
Jobless?
Kufukuzia uteuzi wa UDC, UDED au UDAS?
au ni wito wa kuwatumikia wananchi umetanuka?
Simply UDC, UDAS &UDED ndo vinatafutwa hapo
 
Kila mtu anakwambia yeye ameguswa na kazi ya raisi anataka kumsaidia kwenye jimbo atukatai Magufuli kafanya kazi nzuri.

Lakini hakuna mwenye agenda ya wananchi sana sana utasikia wanaongelea mahitaji ya barabara tu ina maana hakuna social issues zinazowagusa wakati kila uchao huko you tube mke kapigwa, bibi kaporwa mali zake, mtoto kalawitiwa, mama kanyang’anywa mtoto, mzazi ataki kutoa hela za matunzo, maiti imezuiliwa, bidhaa hazina bei ya ushindani monopoly; yaani kuna mambo kibao yanayotaka serikali kubadili sheria au kuboresha utaratibu wa kupunguza matukio yenye kugusa jamii na usikii ndio wana siasa gani hao.

Vyama vya siasa wajue bunge lilioisha lilipeleka watu ovyo sana kiasi kwamba dhana ya uwakilishi imepotea bunge limekuwa sehemu ya ushambenga wa vyama badala ya sehemu ya uwakilishi kupigania maslahi ya wananchi na kuisimamia serikali. Na ukiwa mwakilishi mzuri aina ya Bashe unageuka adui wa mtu kiazi kama kibajaji.
 
Back
Top Bottom